Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ila kaeleweka. Hajaja kutafuta mwalimu wa Kiswahili humu, hao wamejaa tele hadi wengine wanapelekwa chekechea na huenda atawatafuta akipata muda na uhitaji. Hapa anatafuta mjuzi wa SHERIA.Kuanzia neno la kwanza hadi la mwisho katika andiko lako hujaweka nukta wala koma,yaani ni kwamba umeandika sentensi moja kuuuuuubwa sana.Ila pia maneno mengi umeyakosea sana,kwenye "L" unaweka "R" na matumizi ya "H" pasipotakiwa,hii inaleta tabu kwa mtu kuelewa vizuri ujumbe uliokusudiwa
Na ndio kilichobaki. Kama mganga ameweza kukutoa jela, hatoshindwa kwa ilo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana mkuu, unaonaje ukaenda kwa huyo mganga amloge hy mwanamke papuchi isifunguke tena na mwanaume jogoo asiwike tena !!!!
Anawatoa misukule then anafungua duka.hii njia ya pili nahisi inamfaa maana kama kaweza kuroga akatoka jela atashindwaje kuwafanya misukule huyo demu na jamaa yake.
Kuwaroga bila faida it doesn't make sense. Awafanye misukule tu.Pole sana mkuu, unaonaje ukaenda kwa huyo mganga amloge hy mwanamke papuchi isifunguke tena na mwanaume jogoo asiwike tena !!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Itabidi ulipie tangazo la biashara kuwa mganga wako anaweza kutoa watu gerezani.
Ushauri mgumu.SIRAHA YA MASIKINI NI UCHAWI kiongozi we nenda kawaroge tu hao wote wafe na hako katoto katoe sadaka ya kufara ya kuteketezwa umpatie faida umiliki mali, usisimbuke na huo ukoo watakupotezea muda Nenda kwa mganga yule yule aliye fanikisha mazingaombwe yake ukatoka uwadedishe hao fasta,kama waliksudia kukufunga miaka 30 ukiendelea nao watakubambika kesi nyingine kisheria kwenye mafaili inaonyesha bado upo kifungoni ila mwili ndo upo uraini kua makini mkuu,jitahidi kugeuza moyo wako acha huruma kaka.
Mkuu kumbuka amesema katoka jela π π π πKuanzia neno la kwanza hadi la mwisho katika andiko lako hujaweka nukta wala koma,yaani ni kwamba umeandika sentensi moja kuuuuuubwa sana.Ila pia maneno mengi umeyakosea sana,kwenye "L" unaweka "R" na matumizi ya "H" pasipotakiwa,hii inaleta tabu kwa mtu kuelewa vizuri ujumbe uliokusudiwa
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halikuwa ajamaliza shure akaukumiwa kwenda jera mihaka serasini sasa unazani angewezaje kujuha kuhandika fisuli arafu jera za bongo azina makitaba useme atajisomeha na kujihendereza yeye harikuwa hanarima tu kira siku kwa iyo muonee uluma tu na hujitaidi kumuerewa ujumbe wake umpe ushauli hutakaomfaa.
Duniani kuna vitu vigumu sana na hiki ni kimojawapo....Habari za sahizi wanajamvi mnamo mwaka 2011 nilikutwa na hatiya ya kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne nikahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa mujibu wa mahakama walivyo hamua shauri hilo nilienda jela
Kutumikia kifungo hicho ila baada ya miaka sita wazazi wangu walienda kwa mtahalamu nazani mmeherewa (walienda kwa mganga) nikifanikiwa kuachiwa kwa mazingila ya kutatanisha sana na kuludi uraiyani ila sasa kilicho niuma nikamkuta yule binti anaishi na mwanaume mwingine na nilipo fanya uchunguzi ndio mwnye yule mtoto na amefanana nae sula na kila kitu sasa cha kushangaza zaidi nilipo enda kumdai mtoto wangu nilicho jibiwa na yule mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke kuwa yule mtoto sio wa wa kwangu wala sina haki yangu pale pia kauli walio sema wazazi wa mwanamke mimi nilikuwa chambo tuu kwa sababu sina kitu(kapuku)
je kisheria ipoje naombeni msaada watahalamu wa sheria
Asanteni sana mawazo yenu yanaitajika
Hawezi kushinda, kama alikiri kuwa alitembea nae baaaaaas hamna kesi hapo.unauhakika huyo mtoto sio mwanao? kama sio unaweza anzisha mtiti na ulipwe fidia vinginevyo ndo utajua Uchawi uliokutoa unagonga mwamba kwa serikali na unarudi tena
Ha ha ha, sasa ndio nimeelewa mkuu, kweli mjini mipango.Hivi hamjagundua kuwa huyu jamaa anatangaza biashara ya mganga wake aliyemsaidia akatoka jela...?! Janja ya nyani