Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
-
- #181
mmmhhhhh kwa kweli ...
mie nimechoka kuongea nawe kwenye net....
ngoja nije....
mhhhh usichengi gear acha hiyo hiyo no.5
nipe dakika 10 ....
mmmhhh nilikuja nikagonga mlango..Naona bibie umenikimbia jana duh...umenichakachua....
mmmhhh nilikuja nikagonga mlango..
nikasikia sauti za kunongona huko ndani.
mmmmmhhh nikatimua zangu...
vipi mambo lakini??
pole kaka ujue wanawake wa siku hizi hakuna ukweli lazima alikuwa anatembea na mtu/watu tangu mnatoka wote miaka ya nyuma
Hatubikiri kwa makofi mzee, Ukitwanga kotekote sasa unaingilia utashitakiwa mkuulazima ningempiga aisee. Tena ningehakikisha natwanga kotekote ndio nimwache. NYAMBAF!!
Bibie mbona mlango ulikuwa wazi au wezi waliingia ndo ukasikia wanagombania msosi maana wezi wa siku hizi mama hawaachi kitu hata KIPOLO cha Ugali wanakomba...
mmmmhhh mi hiyo wa wezi sijui
sauti zilikuwa za mahaba .......
nakadhani labda ume doublebook...
mama hakiya nani mie sinaga hizo, nikichakachua nakwambia wallah...
mmmmhhhhhhh kwa hiyo unauhakika ni wale tu ulioniambia na hakuna wegine....
hamna mwingine mama....sio wengi ni mmoja tu, yule aliyenibaka.. hivyo nilichakachuliwa bibie
hahahahaahah lol
mmhhh haya naona kila siku stori inabadilika kila siku..
mmmhhhh Open relationship ndo jibu hahahah lol
hahahahaahah lol
mmhhh haya naona kila siku stori inabadilika kila siku..
mmmhhhh Open relationship ndo jibu hahahah lol
Labda mwenzio alimaanisha bikra ya tigo kula Tigo wewe
Aisee huo ni unyanyasaji ambao haustahili kuvumuliwa....
Wee Bana kama vipi mpeleke mahakamani, mimi nitajitolea kuwa wakili wako mpaka haki itendeke...
Haiwezekani muda wote huo ulikuwa unasubiri uje uambulie patupu...
Kwa kuzingatia haki za Binaadam huyo mdada ana kesi ya kujibu....
Dah! Nimesikitika kama nimetendwa mimi vile....:A S-alert1:
Dah! Mnanifanya nifikirie mbali sana.
Sitasahau kilichonitokea kwa binti mmoja frm Mbeya yeye nae alinipa mtihani wa kusubiri BKR miaka 4 lakini mwisho wa siku alipoingia king nikakuta kitu horaaaa ila siku hiyo alilia sana akidai eti kunakipindi alibakwa kitu ikatoka!
I slightly believed her ila nashukuru mtoto ananipenda is like really m da 1st man to be loved n i promise ntamuoa very soon!