Niliibiwa naona...

Niliibiwa naona...

mmmhhhhh kwa kweli ...
mie nimechoka kuongea nawe kwenye net....
ngoja nije....
mhhhh usichengi gear acha hiyo hiyo no.5
nipe dakika 10 ....

Naona bibie umenikimbia jana duh...umenichakachua....
 
pole kaka ujue wanawake wa siku hizi hakuna ukweli lazima alikuwa anatembea na mtu/watu tangu mnatoka wote miaka ya nyuma
 
lazima ningempiga aisee. Tena ningehakikisha natwanga kotekote ndio nimwache. NYAMBAF!!
 
mmmhhh nilikuja nikagonga mlango..
nikasikia sauti za kunongona huko ndani.
mmmmmhhh nikatimua zangu...

vipi mambo lakini??

Bibie mbona mlango ulikuwa wazi au wezi waliingia ndo ukasikia wanagombania msosi maana wezi wa siku hizi mama hawaachi kitu hata KIPOLO cha Ugali wanakomba...
 
lazima ningempiga aisee. Tena ningehakikisha natwanga kotekote ndio nimwache. NYAMBAF!!
Hatubikiri kwa makofi mzee, Ukitwanga kotekote sasa unaingilia utashitakiwa mkuu
 
Bibie mbona mlango ulikuwa wazi au wezi waliingia ndo ukasikia wanagombania msosi maana wezi wa siku hizi mama hawaachi kitu hata KIPOLO cha Ugali wanakomba...

mmmmhhh mi hiyo wa wezi sijui
sauti zilikuwa za mahaba .......

nakadhani labda ume doublebook...
 
hamna mwingine mama....sio wengi ni mmoja tu, yule aliyenibaka.. hivyo nilichakachuliwa bibie

hahahahaahah lol
mmhhh haya naona kila siku stori inabadilika kila siku..

mmmhhhh Open relationship ndo jibu hahahah lol
 
hahahahaahah lol
mmhhh haya naona kila siku stori inabadilika kila siku..

mmmhhhh Open relationship ndo jibu hahahah lol

Unanipa mie fisi kulinda zizi la MBUZI mama angalia mbuzi wataisha....Ila wewe iwe closed relationship ama na wewe open kama mimi? Ulishanisamehe bibie chuna tu hivyo hivyo naogopa mwingine kula navyokula...
 
hahahahaahah lol
mmhhh haya naona kila siku stori inabadilika kila siku..

mmmhhhh Open relationship ndo jibu hahahah lol

Ukiona zinazidi futa mama twende na mpya maana kichwa sio computer dear...
 
Aisee huo ni unyanyasaji ambao haustahili kuvumuliwa....
Wee Bana kama vipi mpeleke mahakamani, mimi nitajitolea kuwa wakili wako mpaka haki itendeke...
Haiwezekani muda wote huo ulikuwa unasubiri uje uambulie patupu...
Kwa kuzingatia haki za Binaadam huyo mdada ana kesi ya kujibu....

Dah! Nimesikitika kama nimetendwa mimi vile....:A S-alert1:

Dah! Mnanifanya nifikirie mbali sana.
Sitasahau kilichonitokea kwa binti mmoja frm Mbeya yeye nae alinipa mtihani wa kusubiri BKR miaka 4 lakini mwisho wa siku alipoingia king nikakuta kitu horaaaa ila siku hiyo alilia sana akidai eti kunakipindi alibakwa kitu ikatoka!
I slightly believed her ila nashukuru mtoto ananipenda is like really m da 1st man to be loved n i promise ntamuoa very soon!
 
Mhhh alibakwa...poa man haina noma hiyo, mpende pia...
 
Back
Top Bottom