Niliibiwa naona...

Niliibiwa naona...

mama mbona unanisutaga hivi jamani? Nilikupigia hukupokea, nikatext msg no reply vipi au suluba tu bibie? Jamani nakumissigi kwa sana weye mamaaaaaaaa....

mmmhhhh hayo ya mwaka jana tuyaache au vipi..
kuanzia mwaka huu simu nitakuwa nayo 24/7..
kila baada ya nusu saa tutaongea...
huu mwaka ni wa upendo tu kwangu hopefully kwako pia..
au unasemaje baba????
 
Magulumangu, umechakachuliwa kama unataka kuendelea nae endelea ila kama unataka bikra ndiyo umekosa. Kubali yaishe.
 
oyaa mkali magulumangu ee
mpaka mwisho na wewe ulikuwepo sealed?
 
Magulumangu, umechakachuliwa kama unataka kuendelea nae endelea ila kama unataka bikra ndiyo umekosa. Kubali yaishe.

Usiombe Caro mambo haya yakukute au yamkute mtu wako wa karibu, niliikamia kama nini....nikatoa mimacho tu kitu kilipoenda bila brake....
 
mmmhhhh hayo ya mwaka jana tuyaache au vipi..
kuanzia mwaka huu simu nitakuwa nayo 24/7..
kila baada ya nusu saa tutaongea...
huu mwaka ni wa upendo tu kwangu hopefully kwako pia..
au unasemaje baba????

Sina pingamizi kwako mama, yote usemayo niko nyuma yako, wewe ndo taa yangu, mkono wako ni muhimu kama fimbo kwa kipofu, kila second tuongee mama naana sauti yako tu shuka lazima nifue kesho yake....
 
Sina pingamizi kwako mama, yote usemayo niko nyuma yako, wewe ndo taa yangu, mkono wako ni muhimu kama fimbo kwa kipofu, kila second tuongee mama naana sauti yako tu shuka lazima nifue kesho yake....

hahahahahah lol
Magulumangu wewe haya mi nilidhani haya ni ya mwaka jana lol
yale mambo ya bila wewe sili silali sinywi na sihemi hahahahahah lol
umenichekesha,........lol
 
yaani bland new like genuine kabsaaaaa
vipi ushakata utepe?

mjeshi hukaa kwenye magwanda yake, akitoka atajulikanaje mjeshi? najivunia utepe wangu DJ Vipi ijumaa tunatwanga kama kawa club yetu?
 
hahahahahah lol
Magulumangu wewe haya mi nilidhani haya ni ya mwaka jana lol
yale mambo ya bila wewe sili silali sinywi na sihemi hahahahahah lol
umenichekesha,........lol

Nikinywa maji nakuona kwenye glass bibie, bora nisile swit ila kukuona wewe tu nakuwa nimeshiba...
 
Niliogopa kile kipande nisije nikaumbuka zaidi, bola nilikomea huko huko sebuleni...

mmmmhhh mi nilizani we mambo ya bata unayafagilia sana...
au yale niya mwaka jana.
mmmmmmmhhh unanitisha nini cha mwaka huu hahahahah lol
 
hahahahahahha lol
mmmmhhhhh lakini mnatuwezaga sana kwa kweli

Bila hayo bibie unadhani kitaeleweka basi? Ila wewe Afrodenzi wangu mie sio siri kila nikuonapo moyo lazima udunde, sinaga ukali kwako mama, wacha waseme umenilisha limbwata mama, watasema lkn usiku kitandani watalala.
 
mjeshi hukaa kwenye magwanda yake, akitoka atajulikanaje mjeshi? najivunia utepe wangu DJ Vipi ijumaa tunatwanga kama kawa club yetu?

kaka ni mipini bandika bandua kama vipi ntakucheki nikutonye ntakuwa nawakilisha wapi kama vipi utie maguu
 
mmmmhhh mi nilizani we mambo ya bata unayafagilia sana...
au yale niya mwaka jana.
mmmmmmmhhh unanitisha nini cha mwaka huu hahahahah lol

Bata ni bata mama, si unakumbuka tulipomla mwaka jana? Nilikuona ulimpeda wa kuoka, Tigo ndo situmii siku hizi maana kila mtu anatumia imekuwa kama Mabasi ya UDA kipindi kile...
 
Bila hayo bibie unadhani kitaeleweka basi? Ila wewe Afrodenzi wangu mie sio siri kila nikuonapo moyo lazima udunde, sinaga ukali kwako mama, wacha waseme umenilisha limbwata mama, watasema lkn usiku kitandani watalala.

hahahahahahhahahahahah lol
halafu cha kushangaza zaidi tunajua mnatudanganya lakini cheki tunavyoyapenda hayo maneno
mmmmmmmhhhhhhhh kunahatari..
mmmmmmhhhh mie wangu lazima nimlishe kizizi hutoki hubanduki....
hapa hapa mpaka kieleweke hhahahhaha lol
total package kwa wengine uwende kutafuta nini hahahhahaahha lol
unanipaga raha sana...lol
 
Back
Top Bottom