afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
mama mbona unanisutaga hivi jamani? Nilikupigia hukupokea, nikatext msg no reply vipi au suluba tu bibie? Jamani nakumissigi kwa sana weye mamaaaaaaaa....
mmmhhhh hayo ya mwaka jana tuyaache au vipi..
kuanzia mwaka huu simu nitakuwa nayo 24/7..
kila baada ya nusu saa tutaongea...
huu mwaka ni wa upendo tu kwangu hopefully kwako pia..
au unasemaje baba????