Niliibiwa naona...

Niliibiwa naona...

Wewe mwenyewe Muharibifu tu na uliiba mara ngapi leo utake BIKIRA wakati wewe hukutunza ?Inamaana alipokuwa anakutosa nawe ulikuwa unachakachua maeno sasa kama lengo lango kukuta Bikira umeumbuka.
Ulianza mapema sana Darasa la 7?
Majibu yako yananitatiza kidogo
 
Nilianza urafiki naye akiwa darasa la saba, akamaliza form four hakutaka kunipa kwa minajiri eti hataki mpaka amalize form six, nikavumilia kwa vile nilimpenda sana, nikaomba tena mchezo akiwa form six lakini akakataa madai yake yuko BIKIRA akianza atazoea hivyo kuathiri masomo yake nikamwamini na kumuacha asome, alipomalizza form six akabana tena, tukakorofishana kidogo eti mie nataka kumharibia maisha yake, baada ya kurudiana akanipa bila shida WAKUU kulia kushoto hamna UKUTA, nikamuuliza kwa ustaarabu tu BIBIE VIPI BIKIRA IMEENDA WAPI? Jibu lake eti tulipokorofishana alikutana na mkaka akambikiri...NILIISUBIRIA kwa hamu hiyo BIKIRA lakini sikuiona..

Halafu ukiitwa ''mume *****'' utachukia? Usikute huyo hata bikira ya nyuma pia hana! Shauri yako!
 
Halafu ukiitwa ''mume *****'' utachukia? Usikute huyo hata bikira ya nyuma pia hana! Shauri yako!

Kiongozi huu mwaka unauanzaje?

Hebu tukutane salenda pale tujadili masuala ya katiba mpya.
 
Mjukuu keshakuonya uache umbea. Haya rudi kwenye mada, kwanini ulimuibia wakati anaona?

angekuwa anaona asingeibiwa
alikuwa anatazama lakin aoni the nkatake advantage
KWAN BABU UNA BKRA? BADOAUJAMDANGANYA BIB?
 
angekuwa anaona asingeibiwa
alikuwa anatazama lakin aoni the nkatake advantage
KWAN BABU UNA BKRA? BADOAUJAMDANGANYA BIB?

Bibi hana vikwazo. Ameniruhusu kuwakagua wakati yeye analea wajukuu.
 
Sikuihatarisha mzee, hakuwa nayo huyo mdada na ilikuwa gear tu kuwa kukorofishana two weeks ikatolewa, alikuwa yule mmmmmmeeeeeeeeeee kwenye gunia mzee acha mzee nivute subira...

Mshukuru aliye kusaidia,hiyo kazi ya kutoa bikira ungeiweza?

Inahitaji msuri kwa umri aliokuwa naoa huyo dada!
 
Hivi inakuwaje mwanaume anakula nje halafu akihisi mke/mpenzi anaenda nje anakuwa mkali. Sijui tunakuwaje..........

AAAh kumbe mkuki kwa nguruwe...




Mkuu ulishaona wapi katika dunia hii mitamba wanagombania jogoo,lakini hebu tazama kasheshe ya jogoo wakikutana tu, na hapo bado hajamfumania mwenzake.
 
Hivi Bikira bado zipo humu duniani kweli,sijaona wala kumsikia msichana mwenye bikira siku nyingi kweli.
 
Hivi Bikira bado zipo humu duniani kweli,sijaona wala kumsikia msichana mwenye bikira siku nyingi kweli.
mkuu kuanzia chekechea watu wanaanza kumegana.......bikira zipo ILA NI CHACHE.
 
Nikweli hawasemi, lakini hawasemi kwa kuogopa kuchakachuliwa kwabni wanaume wanapenda sana bikira. Ya nini akwambie, si utajua siku ikifika??. Wewe ulipiosikia bikira umeuzwa si ulisikitika. ina maana ulikuwa unaivizia kwa udi na uvumbi???? tete te te.

mkuu usiombe ahadi ya kubikiri upewe, unakuwa na hamu siku ije uione hehehe, lakini kama haipo ndo hapo kasheshe, niliuliza baada ya kuweka mirija tu, bibie iko wapi? kigugumizi kikanijia...
 
Back
Top Bottom