Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
- #161
mmmmhhh mi nilizani we mambo ya bata unayafagilia sana...
au yale niya mwaka jana.
mmmmmmmhhh unanitisha nini cha mwaka huu hahahahah lol
Mwaka huu tunaenda zetu Kikissiana kwenye Mawenzi, tutahauggiana pale Uhuru peak, na kile roho zetu penda tutakienzi pale Kibo mama, Usijali kila kitu tayari mama, tunafanya mapya mwaka huu bibie...wewe ndo kila kitu kwangu, ndo mipango yangu, kila niamkapo namshukru mungu kwa kunipa wewe, namuomba azidi kunifanywa nipendwe zaidi na wewe tu mama...