Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

Wewe huwezi kuchomoka umesha nogewa na huyu bint wa 19, umekuja kutusanifu tu, ila jua mwanamke wanafanana tabia wote miaka kwao haina uwiano na matendo yao. Na pili mwana mke abadilikagi isipo kua anaficha au kupumzisha tabia yake mbaya, ila huiibua badaye.
Kwa hiyo unashauri hafai kuwa mke?
 
Mkuu aliesema NO PAIN ... NO GAIN .. hakua punguani ,haya mambo pasipo kukuumiza hata kinyesi utakiona pilau ,
Nakukumbusha tu kuwa JASIRI HAACHI ASILI...,
HATA KAMA SIO LEO UTAKUJA KUKUMBUKA NINACHOKUELEZA.
Kwa hiyo nipige chini mkuu?
 
Cngo mother kaongezwa.inauma sana.,.kaa nae Lea mimba, ajifungue salama..mengine yatafuata,

NB: usihukum mapema, Huyo akili yake haijakuwa bado,ukisamehe,uwezekano wa kufanikiwa n mkubwa sana,maana itakuondolea stress za mbeleni utakapopata taarfa za Mara kwa Mara kuhus afya ya mzaz mwenzako.
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia
Umri sio tatizo,kuchepuka ni ushetani kama ulivyo ushetani mwingine wowote,mke mwema hapatikani kwa kigezo cha umri bali kwa kumtanguliza Mungu na kumtukuza,kinyume cha hapo usitegemee muujiza...
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka
Mchukue huyo mwanamke na uishi , mengine utajua mbele ya safari.Sio vizuri mpenzio kulia kwa ajili yako ni balaa unalitafuta.Bado safari ya maisha ni ndefu kama sio riziki utajua mbele ya safari.Halafu Ina joto hiyo...
 
Cngo mother kaongezwa.inauma sana.,.kaa nae Lea mimba, ajifungue salama..mengine yatafuata,

NB: usihukum mapema, Huyo akili yake haijakuwa bado,ukisamehe,uwezekano wa kufanikiwa n mkubwa sana,maana itakuondolea stress za mbeleni utakapopata taarfa za Mara kwa Mara kuhus afya ya mzaz mwenzako.
Mkuu kwani kutakuwa na hatari zozote katika afya ya uzazi hapo mbeleni? Pili nikisema niishi naye tena sitokuwa na amani naye maana kila muda akitoka nitahisi anachepuka
 
Ukiwa 30+ uka date na kamanzi below 23 utalia na kusaga meno kenzako evulition yake inaendelea wakat yako imefika kikomo tafuta age mate wako mu evolve along
Kwa hiyo mkuu unashauri nimuache nitafute mwenye umri mkubwa kidogo?
 
Umri sio tatizo,kuchepuka ni ushetani kama ulivyo ushetani mwingine wowote,mke mwema hapatikani kwa kigezo cha umri bali kwa kumtanguliza Mungu na kumtukuza,kinyume cha hapo usitegemee muujiza...
Kweli kabisa kiongozi.Muhimu kumtanguliza Mungu.Kwa hiyo uchepukaji hauna excuse yoyote na umri sio kigezo? Kama ni hivyo maana yake hafai kuwa mke mwema,au sivyo?
 
Mchukue huyo mwanamke na uishi , mengine utajua mbele ya safari.Sio vizuri mpenzio kulia kwa ajili yako ni balaa unalitafuta.Bado safari ya maisha ni ndefu kama sio riziki utajua mbele ya safari.Halafu Ina joto hiyo...
Mkuu kumbuka hata umri wangu pia unaenda ninahitaji kuwa na mtu sahihi wa kuoa.Itakuwaje huko mbele ya safari ikabainika hafai? Kweli sio vizuri kumliza mwanamke ila maumivu ya usaliti unayajua mkuu?.Kuhusu joto nimeshalikosa mkuu! Maana ile kipindi ya joto nilishamtimua! Sasa yupo kwenye kile kipindi kigumu cha mwisho!
 
Msaidie katika muda huu wa mwisho akishajifungua ndipo uamue acha uoga
 
Oa huyo, ni mke wako.

Usitake kututengenezea Single Mother tena.
 
Kweli kabisa kiongozi.Muhimu kumtanguliza Mungu.Kwa hiyo uchepukaji hauna excuse yoyote na umri sio kigezo? Kama ni hivyo maana yake hafai kuwa mke mwema,au sivyo?
Anaweza kufaa kuwa mke kama mtaingia kwenye toba,na wewe ukamsamehe,then mkafuata procedure za kufunga ndoa,kwani siku zote Mungu ni mwenye huruma,atawasamehe na maisha yanaweza kuendelea,ila lazima muishi kwa kumtukuza yeye ili muweze kufurahia maisha yenu mapya...
 
Mbona naona kama hivi binti wadogo wengi wana mapenzi ya kweli, vikikupenda vimekupenda kweli, Maana wanakua hawajaumizwa bado na wanaume

Hlf wengi wanaona fahari kutoka na wanaume waliowazidi umri Times9
Hamna kitu bro, nlkua nako kamoja 18 kalinisaliti, nikapata kengine 19 kakanisaliti nako, vina shawishika kinoma ukizingatia wakati huo nlkua sina fwedha mambo yalikua mabaya, siku hizi sivifatilii hata.
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu hata nikiwa sina sawa nikiwa nacho sawa pia alikuwa mchapakazi na mwenye kujituma sana katika kutafuta.

Siku za karibuni alipata ujauzito ila mahusiano yaliingia dosari baada ya kugundua kuwa alisaliti. Pia aina ya mawasiliano aliyokuwa akifanya na wanaume tofauti tofauti hayakuwa na afya kwa mahusiano. Roho iliniuma sana, Pamoja na ujauzito aliokuwa nao Nilimrudisha kwao nikamueleza kwamba hata huo ujauzito sina uhakika kama ni wangu. Amekuwa akilia na kubembeleza kuomba msamaha kusisitiza ujauzito ni wa kwangu, Yupo radhi hata DNA ihusishwe.

Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri,

Je, kwa umri huo kuna uwezekano wa kubadilika huko mbeleni?

Je, Ikiwa ujauzito ni wangu kweli (ninahisi hivyo baada ya kujihakikishia) itakuwaje?

Je, Ni kawaida kwa mabinti wa umri huo kuchepuka kwamba baada ya umri fulani atatulia?

Je, Nikubaliane kwamba mtoto apate malezi ya mzazi mmoja ? (japo roho inaniuma kuona mtoto wangu ataishi mbali na baba yake na sikutegemea nitawahi kuwa na mtoto wa nje)

Je, Malezi ya mtoto pasipo na wazazi wawili hayatakuwa na madhara kwa mtoto?

Nawasilisha.
Miaka 19 atakua pisi kali
 
Usiangalie future yake tu angalia na future yangu pia.Kuishi na binti ambaye ameshafanya usaliti na kumfanya kuwa mke wa ndoa hapo baadaye unaona ni sawa?
Na future ya mtoto anaingalia nani? Wewe au yeye? Na mtoto wako unataka aje alelewe katika mazingira gani?

Samehe maisha yaendelee bana, hutopata mwanamke perfect kila idara hapa chini ya jua. Unaweza pata mwingine ndio akawa moto mkali utaanza kutikisa server hapa za JF daily kwa threads za kuomba ushauri.
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu hata nikiwa sina sawa nikiwa nacho sawa pia alikuwa mchapakazi na mwenye kujituma sana katika kutafuta.

Siku za karibuni alipata ujauzito ila mahusiano yaliingia dosari baada ya kugundua kuwa alisaliti. Pia aina ya mawasiliano aliyokuwa akifanya na wanaume tofauti tofauti hayakuwa na afya kwa mahusiano. Roho iliniuma sana, Pamoja na ujauzito aliokuwa nao Nilimrudisha kwao nikamueleza kwamba hata huo ujauzito sina uhakika kama ni wangu. Amekuwa akilia na kubembeleza kuomba msamaha kusisitiza ujauzito ni wa kwangu, Yupo radhi hata DNA ihusishwe.

Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri,

Je, kwa umri huo kuna uwezekano wa kubadilika huko mbeleni?

Je, Ikiwa ujauzito ni wangu kweli (ninahisi hivyo baada ya kujihakikishia) itakuwaje?

Je, Ni kawaida kwa mabinti wa umri huo kuchepuka kwamba baada ya umri fulani atatulia?

Je, Nikubaliane kwamba mtoto apate malezi ya mzazi mmoja ? (japo roho inaniuma kuona mtoto wangu ataishi mbali na baba yake na sikutegemea nitawahi kuwa na mtoto wa nje)

Je, Malezi ya mtoto pasipo na wazazi wawili hayatakuwa na madhara kwa mtoto?

Nawasilisha.
Uyo msaliti Piga chini,kwanza na wewe mtoto kama uyo unampendaje hivyo.Piga chini mtoto mtalea kwani wangapi wanalelewa kwa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom