Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu hata nikiwa sina sawa nikiwa nacho sawa pia alikuwa mchapakazi na mwenye kujituma sana katika kutafuta.

Siku za karibuni alipata ujauzito ila mahusiano yaliingia dosari baada ya kugundua kuwa alisaliti. Pia aina ya mawasiliano aliyokuwa akifanya na wanaume tofauti tofauti hayakuwa na afya kwa mahusiano. Roho iliniuma sana, Pamoja na ujauzito aliokuwa nao Nilimrudisha kwao nikamueleza kwamba hata huo ujauzito sina uhakika kama ni wangu. Amekuwa akilia na kubembeleza kuomba msamaha kusisitiza ujauzito ni wa kwangu, Yupo radhi hata DNA ihusishwe.

Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri,

Je, kwa umri huo kuna uwezekano wa kubadilika huko mbeleni?

Je, Ikiwa ujauzito ni wangu kweli (ninahisi hivyo baada ya kujihakikishia) itakuwaje?

Je, Ni kawaida kwa mabinti wa umri huo kuchepuka kwamba baada ya umri fulani atatulia?

Je, Nikubaliane kwamba mtoto apate malezi ya mzazi mmoja ? (japo roho inaniuma kuona mtoto wangu ataishi mbali na baba yake na sikutegemea nitawahi kuwa na mtoto wa nje)

Je, Malezi ya mtoto pasipo na wazazi wawili hayatakuwa na madhara kwa mtoto?

Nawasilisha.
age iyo mabint huwa wanatongozwa sana sanaa na ukiwa unadate nae kuna mtu umemwibia age mate wake ........bado hajapevuka kiakili wala hawazi mambo ya ndoa...uamuzi ni wako
 
Huu ndo Ukweli,kuna mambo mengi inabidi ayapitie kwanza
 
kaka please usimwache!! mchunguze kama anajutia.. kwa sasa fanya ue unamtumia matumizi halafu unakausha... kipindi cha ujauzito kwa mwanamke ni kipindi ambacho hata maisha yake yanakua hatarini.. na kikubwa amembena mwanao! wanawake sasahivi wanatongozwa sana,,,
.
.
na hua wanaambiana mwanaume ambae hajakuoa si mmeo, usiwakatalie wanaume wanaokutongoza, sasa unakuta hizo kelele na yeye ni mwanamke, halafu ukute hana kitega uchumi chochote ni anayapambania mwenyewe maisha yake!
.
.
kazi ni kwako wewe kama mwanaume kumwonesha unampenda!! kuwa mwanaume kuwa baba wa familia!
.
.
 
Ukijua sababu ya yeye kucheat ndo itakua Jibu na suruhisho kwako uendelee nae au uachane nae..
 
Mimba alee then mtoto akizaliwa wapime DNA maana kasema uhakika hana kama mtoto niwake!
Pili msaliti dawa ni kumwacha tu kwanini ajifanye anampenda,cha muhimu ni mimba alee na bahada ya kujifungua kama mtot atakua wake awe anahusika katika matunzo yake ila asirudiane nae apate funzo ili asijekuharibu tena uko mbeleni.
Kwangu hakuna msamaha kwa msaliti
 
Ukijua sababu ya yeye kucheat ndo itakua Jibu na suruhisho kwako uendelee nae au uachane nae..
Hakuna justification ya kucheat ambayo itamfanya mtu aamue kumwacha au kumrudia mtu.Hapo jibu ni moja tu kumwacha
 
Bado ana akili za kitoto, date na watu wazima kuanzia miaka 30
 
Ukijua sababu ya yeye kucheat ndo itakua Jibu na suruhisho kwako uendelee nae au uachane nae..
Hajui! Nimejaribu kumhoji na kumuuliza sana kwamba kwanini amecheat lakini anasema yeye mwenyewe haelewi imekuwaje
 
Hawa wa uswazi wanagegedana tangu wana 15 sembuse huyo wa 19 mbona huyo concord kabisa
Yaan ni hatari bin taaban, maadili yamemomonyoka kabisaa.

Kuna mbaba mmoja mtaan kwetu anagegeda kabinti ka la saba ndo kamemaliza la saba majuzi hapa, kana miaka 14
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu hata nikiwa sina sawa nikiwa nacho sawa pia alikuwa mchapakazi na mwenye kujituma sana katika kutafuta.

Siku za karibuni alipata ujauzito ila mahusiano yaliingia dosari baada ya kugundua kuwa alisaliti. Pia aina ya mawasiliano aliyokuwa akifanya na wanaume tofauti tofauti hayakuwa na afya kwa mahusiano. Roho iliniuma sana, Pamoja na ujauzito aliokuwa nao Nilimrudisha kwao nikamueleza kwamba hata huo ujauzito sina uhakika kama ni wangu. Amekuwa akilia na kubembeleza kuomba msamaha kusisitiza ujauzito ni wa kwangu, Yupo radhi hata DNA ihusishwe.

Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri,

Je, kwa umri huo kuna uwezekano wa kubadilika huko mbeleni?

Je, Ikiwa ujauzito ni wangu kweli (ninahisi hivyo baada ya kujihakikishia) itakuwaje?

Je, Ni kawaida kwa mabinti wa umri huo kuchepuka kwamba baada ya umri fulani atatulia?

Je, Nikubaliane kwamba mtoto apate malezi ya mzazi mmoja ? (japo roho inaniuma kuona mtoto wangu ataishi mbali na baba yake na sikutegemea nitawahi kuwa na mtoto wa nje)

Je, Malezi ya mtoto pasipo na wazazi wawili hayatakuwa na madhara kwa mtoto?

Nawasilisha.
Pamoja na yote, kwa umri wa Binti kipimo cha Pressure kinunuliwe. utanishukuru baadae
 
Yaan ni hatari bin taaban, maadili yamemomonyoka kabisaa.

Kuna mbaba mmoja mtaan kwetu anagegeda kabinti ka la saba ndo kamemaliza la saba majuzi hapa, kana miaka 14
Noma na nusu halafu utakuta kanamuita mzee bebi, yaani , na bebi anapewa vyote dunia hii
 
Back
Top Bottom