Hatuna mtoto ila hajatulia kabisa hata fariki zake wamejaribu kumshauri kwa njia yoyote lakini haiwezekani imefika pahara rafiki zake wa karibu wakanambia kuwa huyo anadanganywa na umri lakini bia ndio mda ambao anajifunza tabia mbaya ambazo matokeo yake yatakuja kuwa mabaya kwenye familia baadaye maana tabia haibadiriki, msichana anaanza kujitunza na kujiheshimu akiwa katika umri huo ila ukaona anabcheat kwa nyakati hizo na yupo na wewe basi me la kukushauri tafta njia ya kumkwepa ingawa sikushauri kuvunja uhusiano ila fanya mpango wa kutatua tatizo hulo