Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usintishe mkuu siendi takukuru wala sirudishi hela kama wataniua waniue me nlishamaliza kazi sandukuni'mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana hatia..' na Baba wa Taifa,Julius Nyerere
wahi takukuru ujieleze....nje ya hapo huna tofauti na kazima,kazala na asumpta
pia kyombo inapasa ajiengue...hasa kwa dhana ya due dilligence
na rudisha hela
usintishe mkuu siendi takukuru wala sirudishi hela kama wataniua waniue me nlishamaliza kazi sandukuni
Labda inategemea na ushawishi wa mjumbe husikaMmhhh laki 8 kwa watu watatu?? Huwa wajumbe si wanapewa elfu 20 mpaka 40?
"Sie tunapokea na kuweka kwenye kofia, ndio maana tunaita takrima. Huo ndio mtindo mpya CCM mpya"Mleta mada amethibitisha hilo, nisikie sasa wale wapuuzi wanasema CCM Hakuna rushwa
Ila wa Kigamboni ndio kiboko zaidi. Lakini watapata taabu sana, maana mzee wa Kolomije baada ya kuvuliwa nguvu za dola (uenyekiti ulinzi na usalama) kaamua kupambana na wajumbe kwa kuwaendea Gambushi kuwakomesha.kumbe ni kweli wajumbe sio watu wazuri...
Ccm mpya"Sie tunapokea na kuweka kwenye kofia, ndio maana tunaita takrima. Huo ndio mtindo mpya CCM mpya"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1516192
Ni genge la wabinafsi walioachiwa dhamana kwa keki ya taifa.CCM sio chama cha siasa!!
Huyu bwg kiboko alivyoificha Hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Sie tunapokea na kuweka kwenye kofia, ndio maana tunaita takrima. Huo ndio mtindo mpya CCM mpya"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1516192