Niliingiza pesa December na January almost 1M na shilingi kazaa

Kwangu pia mwezi wa pili na wa Kwanza dah ni shida. Namuomba Mungu hii March iwe nzuri.
 
Uvumilivu ni kitu cha muhimu Sana.. usipate Tu wazo la kubadili biashara yanaweza yakakutokea puani Vibaya sana.
 
Ilipoingia February aloo Mambo yalikua magumu, sikupata mteja mwezi mzima,

Vivyo hivyo mwezi March hakuna mteja nimepata

Kwenye biashara kuna kupata na kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…