Niliingiza pesa December na January almost 1M na shilingi kazaa

Nafanya business online, huu mwaka wa 2

Toka nimeanza kufanya haya mtokeo makubwa na mazuri niliyapata kwa Mara ya kwanza,

Ndani ya miezi 2 yaani December na January niliweza kupata 1M na shilingi Kazaa

TOA matumizi, bills, chakula n.k ndani ya hiyo miezi 2 nililipa na rent pia 120k ya miezi 3

Mwisho wa siku baada ya matumizi hayo yote, nikajikuta nina pesa cash 1M na shilingi Kazaa

Ilipoingia February aloo Mambo yalikuwa magumu, sikupata mteja mwezi mzima.

Vivyo hivyo mwezi March hakuna mteja nimepata

Napost KILASIKU Hadi Sasa naona natumia bando la bureeee

HONGERENI MLIO AJIRIWAAAA BIASHARA INA TU MAMBO MAMBO SANA. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Heri yako TRA hawakujui vinginevyo kwenye unayolipa sasa tokea mfukoni ungeongezea hapo na Kodi zaidi, tena iliyoboreshwa.

Wao hujua biashara hukua tu, tena bila changamoto.

Bure kabisa.
 
Nafanya business online, huu mwaka wa 2

Toka nimeanza kufanya haya mtokeo makubwa na mazuri niliyapata kwa Mara ya kwanza,

Ndani ya miezi 2 yaani December na January niliweza kupata 1M na shilingi Kazaa

TOA matumizi, bills, chakula n.k ndani ya hiyo miezi 2 nililipa na rent pia 120k ya miezi 3

Mwisho wa siku baada ya matumizi hayo yote, nikajikuta nina pesa cash 1M na shilingi Kazaa

Ilipoingia February aloo Mambo yalikuwa magumu, sikupata mteja mwezi mzima.

Vivyo hivyo mwezi March hakuna mteja nimepata

Napost KILASIKU Hadi Sasa naona natumia bando la bureeee

HONGERENI MLIO AJIRIWAAAA BIASHARA INA TU MAMBO MAMBO SANA. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pesa ya kawaida Sana hii kwenye crypto
 
Back
Top Bottom