Niliishi kwa kuamini nina UKIMWI kwa zaidi ya miaka 9, asante MUNGU

Niliishi kwa kuamini nina UKIMWI kwa zaidi ya miaka 9, asante MUNGU

Kijiji chote na hao wanafunzi wote na hawana ukimwi basi...
Inawezekana mkuu,,
Ukimwi ni ajali kama ajali zingine,,
Unaweza ukawa muhuni wa kwenda peku na usipate,,,
Na wewe mtulivu ukatembea na mmoja tu,,na huyo huyo akakupa maradhi,,
Mimi kuna jamaa namjuwa alikuwa anachukuwa wale Malaya wa Rambo pale manzese,,
Never miss kila siku lazima alale na wawili Malaya,,
Na mwisho kazaa nao malaya wawili pale,,na yupo powa kabisa hana ugonjwa wowote,,
Usimpinge mleta uzi
 
Ina maana kwa miaka hiyo bado watu hawakujua ukimwi unaambukizwa aje? Umetumia kinga na bado unajishuku?
Tubu na mshukuru Mungu kwa dhati, kwa sababu hao uliodhani unawagawia ukimwi, tendo ovu kabisa, na wao walikuwa salama.
 
Unadhani nyimbo zote zinazoimbwa mwaka huu 2020, basi zimetungwa na kuachiwa mwaka huu?
Zamani kuwa na wimbo lazima uwe umeachiwa

Mleta uzi kama ana fiksi mambo hivi, 2000 foleni za dawa za Ukimwi zilikuwepo?
 
Std 7 ndio ujue Sex kwa kiwango unachosema? Unless hii story umetunga tu, it can't be, hata huyo demu kama Std 7 alijitapa alitembea na kivulana cha Std 7 nae ni hovyo, Std 7 is just a kid..!!
 
Alafu huu uzi kama kuna mtu daktari atoe ufafanuzi vizuri. Vijana wengi mtaani wanadata na kuishi kwa kukata tamaa wakisikia mtu aliyefanya nae mapenzi ameathirika ingawa unakuta ametumia kinga vizuri tu. Kunaelimu ya kufanya mapenzi inabidi itolewe, tusione aibu kukaa kwenye tv kutoa elimu hizi.
 
Inawezekana mkuu,,
Ukimwi ni ajali kama ajali zingine,,
Unaweza ukawa muhuni wa kwenda peku na usipate,,,
Na wewe mtulivu ukatembea na mmoja tu,,na huyo huyo akakupa maradhi,,
Mimi kuna jamaa namjuwa alikuwa anachukuwa wale Malaya wa Rambo pale manzese,,
Never miss kila siku lazima alale na wawili Malaya,,
Na mwisho kazaa nao malaya wawili pale,,na yupo powa kabisa hana ugonjwa wowote,,
Usimpinge mleta uzi

Ukimwi ni njama za mataifa ya magharib!
Kwa sasa corona nduo inataka kureplace ukimwi!
 
Ina maana kwa miaka hiyo bado watu hawakujua ukimwi unaambukizwa aje? Umetumia kinga na bado unajishuku?
Tubu na mshukuru Mungu kwa dhati, kwa sababu hao uliodhani unawagawia ukimwi, tendo ovu kabisa, na wao walikuwa salama.
Mgololo no kijijini,elimu ilikuwepo yakutosha kabisa,tatizo kama pale nilivyomwambia yule Dada kuwa nimetumia condom Ila akajibu c umenyonya urimi au nao ulivaa condom? Ndio akanimaliza kabisa maana tulikuwa hatuna elimu yakutosha.
 
Back
Top Bottom