Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Wanasema mjini akili. Miaka kadhaa nilikuwa napambana kukuza mtaji kwa kukopesha watu kuanzia elfu ishirini mpaka elfu hamsini kwa marejesho ya kila siku.
Pale Kariakoo kuna watu hawana mtaji ila wanafahamu chimbo la bidhaa na wapi atauza. Walikuwa wanakuja na kuchukua hela halafu anarudisha na asilimia kumi kwa siku.
Elfu 20 inarudi elfu 22
Elfu 30 inarudi elfu 33
Elfu 40 inarudi elfu 44
Elfu 50 inarudi elfu 55
Kwa siku nilikuwa sikosi elfu 25 mpaka elfu 40 kwa mtaji wa laki nne.