Niliishi miaka kadhaa Dar kwa kukopesha watu pale Kariakoo kwa rejesho la asilimia kumi kwa siku

Niliishi miaka kadhaa Dar kwa kukopesha watu pale Kariakoo kwa rejesho la asilimia kumi kwa siku

Namaanisha:

1. Humu kwenye jamii forum kuna dini zote na wengine hawana.
2. Wakristo wana tafsiri Biblia kwa mitazamo tofauti.

Si sawa kuweka Biblia kama a standard book kwa public. Labda unapokuwa kanisan kwako.
Ndugu yangu nikuhakikishie Biblia ni Neno la Mungu Aliye hai. Amini usiamini ukweli ndio huo. Hujachelewa, amua kuliamini Neno la Mungu leo uokoke. Karibu kwenye ufalme!

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom