nashukuru mkuuInaruhusiwa ndio maana Yesu kwenye ule mfano wake alisema jamaa aliyefukia hela ni bora angeipeleka kwa watoao riba ili aliporudi angeikuta na faida yake.
Kwani riba ina ubaya gani?Hivi biblia inasemaje kuhusu riba? inaruhusiwa?
Kuirasimisha kuna changamoto nyingi na faida isingeweza kuwa kubwa hivyo.Ungehalalisha hiyo biashara kwa kukata leseni ya Micro Finance halafu ukajikita na wateja wachache unaowafahamu kupunguza risk
Hivi biblia inasemaje kuhusu riba? inaruhusiwa?
kwamba kuna wakristo hawaifuati biblia ama ulimaanisha nini mkuuBiblia sio mwongozo wa kila mtu Kaka
Safi Sana.Hata biashara zote msingi wake ni faida.Inaruhusiwa ndio maana Yesu kwenye ule mfano wake alisema jamaa aliyefukia hela ni bora angeipeleka kwa watoao riba ili aliporudi angeikuta na faida yake.
Kama ndo biashara yako unaruhusiwa , Ila kama sio biashara yako hutakiwi kumkopesha mtu Kwa Riba , mana hata bidhaa tunazouza thamani yake ina ribaHivi biblia inasemaje kuhusu riba? inaruhusiwa?
kwamba kuna wakristo hawaifuati biblia ama ulimaanisha nini mkuu
ubarikiwe sana mkuuNamaanisha:
1. Humu kwenye jamii forum kuna dini zote na wengine hawana.
2. Wakristo wana tafsiri Biblia kwa mitazamo tofauti.
Si sawa kuweka Biblia kama a standard book kwa public. Labda unapokuwa kanisan kwako.
ubarikiwe sana mkuu
Hairuhusiwi kumkopesha ndugu kwa riba. Wengine ruksa. Biashara ya kuuza pesa!Hivi biblia inasemaje kuhusu riba? inaruhusiwa?
Mwigulu na TRA wangekula cha juu, asingebaki na kituUngehalalisha hiyo biashara kwa kukata leseni ya Micro Finance halafu ukajikita na wateja wachache unaowafahamu kupunguza risk