M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 3,504 Reaction score 6,809 Dec 20, 2022 #21 StudentTeacher said: Hairuhusiwi kumkopesha ndugu kwa riba. Wengine ruksa. Biashara ya kuuza pesa! Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app Click to expand... Watu wale wapi sasa, ni sawa lakini maana inasema pia ukipigwa makofi geuza na upande mwingine wayachape mara sabini
StudentTeacher said: Hairuhusiwi kumkopesha ndugu kwa riba. Wengine ruksa. Biashara ya kuuza pesa! Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app Click to expand... Watu wale wapi sasa, ni sawa lakini maana inasema pia ukipigwa makofi geuza na upande mwingine wayachape mara sabini
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Dec 20, 2022 #22 Gfav said: Namaanisha: 1. Humu kwenye jamii forum kuna dini zote na wengine hawana. 2. Wakristo wana tafsiri Biblia kwa mitazamo tofauti. Si sawa kuweka Biblia kama a standard book kwa public. Labda unapokuwa kanisan kwako. Click to expand... Ndugu yangu nikuhakikishie Biblia ni Neno la Mungu Aliye hai. Amini usiamini ukweli ndio huo. Hujachelewa, amua kuliamini Neno la Mungu leo uokoke. Karibu kwenye ufalme! YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Gfav said: Namaanisha: 1. Humu kwenye jamii forum kuna dini zote na wengine hawana. 2. Wakristo wana tafsiri Biblia kwa mitazamo tofauti. Si sawa kuweka Biblia kama a standard book kwa public. Labda unapokuwa kanisan kwako. Click to expand... Ndugu yangu nikuhakikishie Biblia ni Neno la Mungu Aliye hai. Amini usiamini ukweli ndio huo. Hujachelewa, amua kuliamini Neno la Mungu leo uokoke. Karibu kwenye ufalme! YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Mnyiramba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,141 Reaction score 3,119 Dec 20, 2022 #23 Kwahiyo mtaji ulikuwa kwa kiasi gani kutoka hiyo laki 4 ndugu motivation speaker !?[emoji851]
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Dec 20, 2022 #24 Kweli mjini shule
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Dec 20, 2022 #25 ukiona mtaji umwfikia JF ni kwamba umerogwa