cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?
Mali ya familia ya mke wako wewe ondokaWakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.
Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.
Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.
Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?
Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?
Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?
Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?
Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Kama Kiwanja Kina Hati ya Maji yako.... Jenga tu!Yaan kujenga ukweni? Hahahgaa
Inaonekan n mtu mzima usiyejitambua sababu mpaka hiyo nyumba ni ya watoto na Yako Tena uyo mkwe wako aliona mbali maan ujenga pasi na hapo Leo watoto huenda wasingekua na chao Tena,wee acha nyumba kama unataka kuoa kaanze maisha mapya na pia inawezekan hata hukujenga Kwa nguvu Yako pekeyako ndyomana hata kununia kiwanja ulishindwaWakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.
Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.
Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.
Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?
Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?
Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?
Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?
Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Hapo sio kwako ndugu katafute eneo lako ujenge usije kuoa mwingine na kumweka hapo nao ni binadam utawakwanza halafu Mwanamke anakufa ww unabaki ilikuwajeWakuu ndiyo ipo hivyo