Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?

Kama mna watoto
Hiyo nyumba ni ya watoto wenu.

Kuoa nenda kajenge kwingine

Uwe na heshima kwa mkeo

Tengeneza pesa na mke mpya mkajange pia.
 
Bahati mby hujafunguka vya kutosha!
  1. Mlibahatika Watoto?
  2. Kiwanja ni zwd sawa, mlikabidhiana kwa Maandishi? Kiwanja kina hati?
Ukiacha Ugonjwa wa wengi wa WATANIONAJE? ukweni wala hakuna shida kiivyo.

Sithubutu kulala ukweni achilia mbali Kujenga
 
Wakuu ndiyo ipo hivyo

Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.

Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.

Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.

Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?

Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?

Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?

Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?

Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Mali ya familia ya mke wako wewe ondoka
 
Inaonekan n mtu mzima usiyejitambua sababu mpaka hiyo nyumba ni ya watoto na Yako Tena uyo mkwe wako aliona mbali maan ujenga pasi na hapo Leo watoto huenda wasingekua na chao Tena,wee acha nyumba kama unataka kuoa kaanze maisha mapya na pia inawezekan hata hukujenga Kwa nguvu Yako pekeyako ndyomana hata kununia kiwanja ulishindwa
 
Wakuu ndiyo ipo hivyo

Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.

Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.

Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.

Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?

Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?

Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?

Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?

Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Hapo sio kwako ndugu katafute eneo lako ujenge usije kuoa mwingine na kumweka hapo nao ni binadam utawakwanza halafu Mwanamke anakufa ww unabaki ilikuwaje
 
Back
Top Bottom