Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mashaka hata hao watoto sio wako naomba niishie hapa maana nkisema zaid ntalambwa ban na moderatorNilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie!
Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini. Kwa kweli, niliona kama ni mbali, lakini akaniambia kuwa kuna kiwanja mama yake alimpa kama zawadi siku ya harusi yetu, hivyo tukibadilishe majina tukijenge. Sikuona zawadi hiyo ikitolewa rasmi, ila alinieleza kuwa mama yake alimpa kimya kimya. Kwa hiyo, niliongea na mama yake, naye akanithibitishia kuwa alipewa kweli.
Basi tukaanza mchakato wa kutafuta hati kwa ajili ya majina yetu. Yeye ndiye aliyekuwa anashughulikia kila kitu. Tulimaliza kila hatua, na mambo yalionekana kuwa sawa. Tukaanza ujenzi, nyumba ikakamilika na tukahamia. Lakini kila nilipomuuliza kuhusu hati ya nyumba, alinizungusha zungusha bila kunipa majibu ya kueleweka.
Siku moja nikiwa zangu nyumbani, nikashangaa kuona watu wakija kuangalia nyumba. Niliwauliza kulikoni, wakaniambia kuwa wao ni wafanyakazi wa benki flani na kwamba mwenye nyumba ametaka kuchukua mkopo. Nikamuita mke wangu, akaniambia, "Nilisahau kukuambia, mama alitaka kuchukua mkopo. Ujue kumbe mama alishachukua hati ya nyumba hii, na kwa sababu bado kule ardhi wanatusumbua kubadili majina, ameamua kuchukua mkopo ili afanye biashara na atalipa pole pole."
Nilishtuka, lakini sikujua nifanye nini kwa sababu nyumba haikuwa yangu rasmi. Nilimpigia simu mama mkwe, naye akaniambia, "Ina maana mwenzako hakukuambia? Basi mimi tayari nimeshajaza kila kitu. Kiwanja hiki ni changu, niliwapa tui la nachukulia mkopo nitalipa?” Alichukua mkopo ila alilipa marejesho matatu." Baada ya hapo, mke wangu akaniambia kuwa inabidi sisi tulipe mkopo huo kwa sababu mama amegoma kuendelea kulipa.
Nilijikuta sina kauli, na kwa kweli, niliona suluhisho pekee ni kaucha nyumba iuzwe ili kumaliza matatizo, kwelibenki waliipiga mnada wakachukua pesa yao. Sasa hivi tuko kwenye nyumba ya kupanga, tumeanza upya! Maisha yamekuwa magumu sana kwani nilikua na mikopo mingi, nimekata tamaa, na mke wangu kila siku ananidharau na kunipiga vijembe kuhusu ile nyumba kuuzwa. Sina amani kabisa, lakini tuna watoto, hivyo hata kumwacha siwezi.
MWISHO
oya nenda taratibu mzee unakoleza motoNina mashaka hata hao watoto sio wako naomba niishie hapa maana nkisema zaid ntalambwa ban na moderator
Ngojaa tu ni unsubscribe hii thread maana naweza mtukana na kama angekuwa ni ndugu yang ananambia huu upuuzi angekula bonge la kofi bila kujali umri wakeoya nenda taratibu mzee unakoleza moto
Engagements zinatafutwa hapaWewe kweli ni bwege ila nanusa hii ni chai ya maziwa
ndio wale wanaoombaga hudhuru sana kwenye vikao, sasa kayatimbaMke na mama mkwe matapeli ila na wewe una kautahira utajengaje kwenye kiwanja cha mwanamke? Hahudhurii vikao vyenu,
🤣🤣🤣 ukisikia mtu anasema kuwa mwanaume unaelewa nini? Sasa huyu hajui kuwa mwanaumeSi ndio wanaume mnaowataka hawa 😃 eti sema kweli Kapeace mazoba myapelekeshe
Ndo hivyo watoto wanalipa gharama za makosa yake,Hamna kusameheana jamani mdau akikosea? At least tummies moyo kwa sasa, ameshaelewa makosa vizuri nahisi! 😄
Ameyatimba sio mchezondio wale wanaoombaga hudhuru sana kwenye vikao, sasa kayatimba
Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie!
Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini. Kwa kweli, niliona kama ni mbali, lakini akaniambia kuwa kuna kiwanja mama yake alimpa kama zawadi siku ya harusi yetu, hivyo tukibadilishe majina tukijenge. Sikuona zawadi hiyo ikitolewa rasmi, ila alinieleza kuwa mama yake alimpa kimya kimya. Kwa hiyo, niliongea na mama yake, naye akanithibitishia kuwa alipewa kweli.
Basi tukaanza mchakato wa kutafuta hati kwa ajili ya majina yetu. Yeye ndiye aliyekuwa anashughulikia kila kitu. Tulimaliza kila hatua, na mambo yalionekana kuwa sawa. Tukaanza ujenzi, nyumba ikakamilika na tukahamia. Lakini kila nilipomuuliza kuhusu hati ya nyumba, alinizungusha zungusha bila kunipa majibu ya kueleweka.
Siku moja nikiwa zangu nyumbani, nikashangaa kuona watu wakija kuangalia nyumba. Niliwauliza kulikoni, wakaniambia kuwa wao ni wafanyakazi wa benki flani na kwamba mwenye nyumba ametaka kuchukua mkopo. Nikamuita mke wangu, akaniambia, "Nilisahau kukuambia, mama alitaka kuchukua mkopo. Ujue kumbe mama alishachukua hati ya nyumba hii, na kwa sababu bado kule ardhi wanatusumbua kubadili majina, ameamua kuchukua mkopo ili afanye biashara na atalipa pole pole."
Nilishtuka, lakini sikujua nifanye nini kwa sababu nyumba haikuwa yangu rasmi. Nilimpigia simu mama mkwe, naye akaniambia, "Ina maana mwenzako hakukuambia? Basi mimi tayari nimeshajaza kila kitu. Kiwanja hiki ni changu, niliwapa tui la nachukulia mkopo nitalipa?” Alichukua mkopo ila alilipa marejesho matatu." Baada ya hapo, mke wangu akaniambia kuwa inabidi sisi tulipe mkopo huo kwa sababu mama amegoma kuendelea kulipa.
Nilijikuta sina kauli, na kwa kweli, niliona suluhisho pekee ni kaucha nyumba iuzwe ili kumaliza matatizo, kwelibenki waliipiga mnada wakachukua pesa yao. Sasa hivi tuko kwenye nyumba ya kupanga, tumeanza upya! Maisha yamekuwa magumu sana kwani nilikua na mikopo mingi, nimekata tamaa, na mke wangu kila siku ananidharau na kunipiga vijembe kuhusu ile nyumba kuuzwa. Sina amani kabisa, lakini tuna watoto, hivyo hata kumwacha siwezi.
MWISHO
Alieandika hii ni Jinsia gani wakuu..Nashindwa kuelewa😁😁😁Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie!