Nilijenga kwenye kiwanja cha mama mkwe,akachukua mkopo wakataka mie ndiye nilipe

Delilah alipambana mpk Sam kuingia line ila huyu hata hakufinyiwa ye alijitolea tu ili asifiwe na mamkwe,
 
Suruhisho lako hapo ni kumwacha huyo demu. Piga chini kimbia, kuhusu watoto mtajua tu jinsi ya kuishi nao
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
 

Kama hii simulizi ni kweli.. pole sana... ila nasikitika kusema kuwa umeoa sehemu mbaya sana.. na ulifanya ujinga mkubwa.. Sielewi unaendeleaje kuishi vipi na huyo mke na hiyo familia.
 
Blad hell.....☹️
Ha ha ha umenikumbusha marehemu baba yangu lazima ukifanya ujinga atakwambia blood hell, https://jamii.app/JFUserGuide of. , Mavi wewe, ha ha ha reast easy dada you taught us to be men and judge things as real man, kweli kujenga ukweni ni kichaa cha aina gani hiki
 
Tahira kabisa....au unatupanga....lakini kama ni kweli basi hukutakiwa kuwa mwanaume hata kwa kuitwa tu....na kama hadi sasa bado unaishi na huyo mwanamke eti kisa mna watoto basi we ni msukule kamili....na hukutakiwa hata kuendelea kuvuta hii pumzi!
 
Huyo mkeo anatakiwa ailewe alete mumewe hapo kwako muishi wote ndio utajua umuhimu wa kauli ya ulizaliwa peke yako.
 
Chai haina tangawizi ya kutosha
Mshkaji aweza kuwa anachangamsha jukwaa. Ila miaka 5 nyuma nimeshakutana na kisa cha namna hii.
Jamaa alioa halafu akaamua kutumia kiwanja cha familia ya mke wake kujenga nyumba yao (yake na mkewe) ya kuishi.

Wakakaa pamoja miaka kadhaa, halafu ndoa ikaanza kuyumba kiasi cha kufikia kuamua kuachana. Jamaa akawa hana haki na ile nyumba hata kidogo. Ikabidi iwaachie familia ya mke.
 
Kweri we ulirogwa
 
Mi navunja nawaachia kifusi wazoe.
 
Ubayaaa ubwelaaaa hii
 
Pole , wewe ulikuwa kama kondoo aliyezungukwa na mbwa mwitu wenye njaa kali ambao ni mkeo na mama yake.

hii ndio inayoitwa " Learnt in a hardway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…