DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 665
- 1,572
Tume ya Uchaguzi na CCM yenu mnatakiwa mjitafakari sana kwamba;
Vijana na Gen Z kujiandikisha kwetu kwa wingi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, kusiwafanye muwe na uhalali wa kuamua na kuwa na kauli moja kwamba tutapiga kura!. Kura hatutapiga ila tutatumia hivyo vitambulisho kuombea mikopo ya simu na mikopo, kuombea vibarua, n.k.
Vijana na Gen Z wenye akili timamu hatutapiga kura.