Nilijua anakuja kwetu Simba kweli sisi ni mambumbumbu

Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Kwani wewe ulikuwa wapi siku zote, mbona tangu mwanzo wa sakata ilikuwa aanahusishwa na Azam? Acha aende akale misosi kwanza, akijaa jaa mwili atakuja Simba
 
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a

Simba
Guvu moya
Aahhaaaaaa,nasikia Azam pale ni kuzuga tu next year anakuja unyamani
 
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a

Simba
Guvu moya
Wote tulikuwa tunajua aenda azam from very beginning! Labda wewe ndio ulikuwa hujui.

Kwanini sasa wana simba walikuwa wakifurahi?

Kwasababu we all admit that fei ni mchezaji mzuri tena alikuwa threat sana kwetu sisi simba maana amewahi kutufunga miwa ya mbali mtoto yule! So tulikuwa twafurahi kwa kutegemea somehow atam~slow down mtani apungue makali kidogo

I maybe right maybe wrong!
 
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a

Simba
Guvu moya
Ww ni utopolo
 
simba hawawezi kumlioa fei bro
 
Back
Top Bottom