Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Acha mwisho wake ufike lakini pesa ale... We Huna mwisho Kwani? Ligi ya bongo mapenzi tupa kule.. yanga na Simba zimeua ndoto na Maisha ya wachezaji wengi Sana Kwa kuendekeza unazi... Ni muda wa pesa. Kule Azam anakula 20+m, Bado bonus+pesa ya usajili ci chin ya 300m, Bado anapewa nyumba yenye hadhi kubwaa masaki au osterbay... Bado ndugu Zake wanakula shavu Kwa Azam kampani... Muache dogo aiseeHuyu dogo kama kweli anakuja chamazi basi mwisho wake umefika