Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Acha mwisho wake ufike lakini pesa ale... We Huna mwisho Kwani? Ligi ya bongo mapenzi tupa kule.. yanga na Simba zimeua ndoto na Maisha ya wachezaji wengi Sana Kwa kuendekeza unazi... Ni muda wa pesa. Kule Azam anakula 20+m, Bado bonus+pesa ya usajili ci chin ya 300m, Bado anapewa nyumba yenye hadhi kubwaa masaki au osterbay... Bado ndugu Zake wanakula shavu Kwa Azam kampani... Muache dogo aiseeHuyu dogo kama kweli anakuja chamazi basi mwisho wake umefika
Mkuu MBUMBUMBU kweli kweli mkuu namimi nikiwemo na viongozi wangu kwa ukaribu. simba haijui na haijitambuiKelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya
Wewe ndio Fei nikisema utarudisha? Au una shauku tu kujua kiasi?Kati ya zile M9,wewe ulichangia ngapi?
Mafwi ghakoNywanoko
Ile ni kifuta machozi kutoka kwa wadau kwenda kwa Feisal..Oya zile hela tulizochangishana makolo ili Fei aende CAS itakuwaje sasa? Mtonyo utarudi?😀
Ngoja wenzako waje wakuambie wewe ni mshabiki wa Yanga. Nyinyi msimu ujao mtaendelea na wachezaji wenu mlio watoa kwa mkopo akina Victor Akpan na Nelson Okwah.Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya
Kwani na zile walizochangishwa kwa ajili ya kujenga uwanja, unafahamu zilipo! Bilioni 20 zenyewe tu mpaka leo wanapigwa tu sound!!Oya zile hela tulizochangishana makolo ili Fei aende CAS itakuwaje sasa? Mtonyo utarudi?😀
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea motoKwani na zile walizochangishwa kwa ajili ya kujenga uwanja, unafahamu zilipo! Bilioni 20 zenyewe tu mpaka leo wanapigwa tu sound!!
Rage ajengewe mnara mapema aisee!! Maana siyo kwa kushadadia kule! [emoji2]
Bora aende Chamazi, akija kwa akina Abiola cup shughuri itakuwa imeisha kabisaa na ipo mifano halisia sitaki kuitaja.Huyu dogo kama kweli anakuja chamazi basi mwisho wake umefika
Ulijua?Nani alikujuza?Basi kichwa yako na boga(mnaliremba kwa kuliita tikiti au water-melon)hakuna tofauti.Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya
Wenye akili wawili tu
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea moto
Unataka aende bure toeni pesaHuyu dogo kama kweli anakuja chamazi basi mwisho wake umefika
Pole sana ndugu mabahili.kanjibah chupke chupkeKelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya