Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Psychology inakiri kwamba kwenye mafanikio kuna mapambano, Wapo watu ambao wakati wana hustle walikuwa marafiki sana tu, Lakini kwa Bahati mbaya Baada ya mafanikio kuanza zaidi kwa mmoja , Chuki huibuka na kutengeneza Uadui.
Je, ufanye nini ili kuepuka Changamoto hiyo?
- Kwanza Tengeneza usiri wa mipango yako kwa watu wanaokuzunguka. Hii najua pengine ni ngumu kumficha rafiki yako mipango yako, Lakini napenda nikwambie kwamba kama kweli unampenda rafiki yako ,Basi usimwambie kila jambo lako.
- Baada ya kumjua vizuri ,weka mipaka na ujue nini chakumwambia na nini usimwambie.
- Jizuie kuzungumza mafanikio yako mbele za watu, Hii mara nyingi ndio huleta Chuki na wivu negative wa mafanikio.
Hivyo When you win, still silent, when you plan stay silent, when you hustle still silent too, Jua kuna vita unapigana kwenye ulimwengu wa Hisia za kibinadamu na hii haiepukiki