Nilijua nimeshatoka...

Lazima akubanie unajifanya ccm damu kumbe ww ndo ndo unarudisha maendeleo nyuma na ccm yako
 
Kwa Uandikaji Thread namna Hiyo Kazi lazima ukose.
 
Nakupa pole, mara nyingi sisi wabongo kiingereza hatujui ila utakuta tunataka kufanya mambo yawe magumu.. Kwa mfano unaenda kwenye interview unakuta wote ni waswahili na kazi unayoomba haihitaji saaana umahiri wa kuongea kiinglish eti unatafanyiwa itaview ya kimombo huu mimi nianaona ni ulimbukeni na ni kuendeleza tamaduni za kikoloni
 

Nakubali lugha ni ktu muhimu sana katika kufanikisha mambo, lakini ni aina gani ya lugha inayotumika hilo ndiyo tatizo hapo, hua imekua kasumba kwa watanzania walio wengi walio kwenye kanafasi fulani haaasaaa wanakaa karibu na wahusika wa lugha hyo kuonyesha kua waiweza hyo lugha kwa wenzao kwenye kipindi cha usahili wanasahau dhana nzima ya usahili. Kutumia lugha ya kamusi kwenye usahili si vizuri kama lengo nikupata mtendaji mzuri. Hili jambo nimeliona hasa kwenye office ambazo nimefaniwa kufanya kazi, wako wageni wangi ma ofisini si watendaji wazuri kama wa wakitanzania ila kwasababu tu wanjua hiyo lugha wanaonekana wanafaa. Me naamini lugha ni mazingira na nirahisi kuifahamu ukiwa kwenye mazingira hayo ila kama unataka kuijua hapo utahitaji kwenda darasani upate cheti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…