Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 103
Lazima akubanie unajifanya ccm damu kumbe ww ndo ndo unarudisha maendeleo nyuma na ccm yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo tatizo lao kubwa wanatangaza nafasi wakati ayali wanamtu wao wanayemfikiria kunakuwa, hakuna usawa kabisa, jamani ma hr acheni hizo.
Kwa Uandikaji Thread namna Hiyo Kazi lazima ukose.
Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?
Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.
Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!