Baada ya rais wa Tanzania kuruhusu mikutano ya hadhara mimi nilijiuliza ni ajenda zipi wapinzani wanapaswa kwenda nazo?
Pongezi Kwa mama Kwa kuruhusu mikutano?
Katiba mpya ambayo pia mama kasema anataka mchakato wake uanze?
Kupanda kwa bei ya chakula ambapo pia unahitaji uangalifu maana ukutaka mazao ya kilimo yauzwe bei chini unakusudia kuwaathiri wakulima?
Ukweli ni kwamba hakuna hoja ya maana mpaka sasa inayoweza kuleta hamasa kwenye hii mikutano kama ilivyokuwa zamani za chadema Ile ya kupambana na ufisadi.
Mikutano ni haki yakisiasa ambayo iko kikatiba.Kilichokua kinahitajika ni haki hiyo iwepo au irudi kwasababu iliporwa na mamlaka isivyo halali.Sasa swala la mikutano ifanyike lini na wapi ilo ni swala la vyama vya siasa vyenyewe vitakavyoona.
Nasio kwa jinsi unavyotaka wewe.Hakuna nchi ambayo imemaliza agenda zote. Jielimishe kabla yakukurupuka.