Nilijua ukimya mwingi wa Simba SC utaiumiza Yanga

Kosa lilipo anza kumleta yule mzungu awa kariakoo mwenye mdomo kama kombora la kiduku.

tumekaa kimya maana jumamosi tutawaonesha
 
Tatizo Mkolo washajua hyo mechi hawawezi kuchomoka sembuse na Ile ahadi ya Mayele.

Sasa hawawezi kuleta mbwembwe lazima waende kinyonge dadeq.. kesho kumenywa kupo palepale
Ahadi ya mayele ni mjinga pekee anaweza kumchukulia serious mtu ambaye Geita Gold alilendemka kama uji wa magadi afu ndio aje kuwa tishio ina hitaji ubongo wa nzi kuwa na fikra hizo

Halafu tumekaa kimya tukijua mmejifunza, mwaka jana mlikuwa mnasema tarehe 11 lazima awafunge, lakini matokeo yake hata dakika 90 hakuzimaliza zote na aliye mbadili hata mpira hakugusa.
 
Mind game ndio kama hizi sio kuwanga katikati ya uwanja tena ugenini,hii game Yanga wanafanya kama wanaiogopa mikia ili wajae kwenye reli mapema tu tuwapasue
Hizi mbinu za kitoto, uwa zinaishia kwa kupewa kichapo na kutoka aibu
 
Ila Simba safari hii wamekula buyu kama hamna kitu hivi kinachotokea yaani
Ndio kukomaa huko kisoka tunakotaka hata Yanga siku moja waje wafikie level hizo

Ukishapata upinzani kwa Al Ahly, Tp Mazembe, Rs Berkane, USGN, Orlando, Kaizer Chiefs utagundua wazo la kuipigia promo mechi ya Yanga kwa terms za kiupinzani ni bonge moja la UPIMBI

Hii mechi pengine Yanga walikuwa na mahesabu nayo miezi mingi huko nyuma lakini kwa ssisi Simba nikiwemo mimi nimekuja kuijua jana

Hiyo inakupa tafsiri gani?

Ni kwamba wakati Simba anafikiria ni namna gani atafuzu nusu fainali club bingwa ikiwezekana na kuchukua ndoo kabisa, Yanga anafikiria afanye nini ili kumfunga Simba.
 
Una chuki mno na Mayele kuliko Yanga yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…