OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Siku zote kwenye harusi bwana harusi makini huwa hana mbwembwe. Mbwembwe anawaachia upande wa kikeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washapagawa, kesho lazima tuwangukie hawa utopolo.View attachment 2204818
Siku zote kwenye harusi bwana harusi makini huwa hana mbwembwe. Mbwembwe anawaachia upande wa kikeni
Sasa Mtu katoka msibani atakuwa na kelele za nini hata matanga hawajaanua?View attachment 2204818
Siku zote kwenye harusi bwana harusi makini huwa hana mbwembwe. Mbwembwe anawaachia upande wa kikeni
Kaka nahifadhi hiiTatizo Mkolo washajua hyo mechi hawawezi kuchomoka sembuse na Ile ahadi ya Mayele.. Sasa hawawezi kuleta mbwembwe lazima waende kinyonge dadeq.. kesho kumenywa kupo palepale
Ukishatoka ulingoni kwenye heavy weights champion na kina tyson fury sidhani kama utakuwa na sababu ya msingi kutunishiana misuli na kina steve nyerere mtaaniSasa Mtu katoka msibani atakuwa na kelele za nini hata matanga hawajaanua?
Afu wote wajingaSisi tuna watu
Huwa nakereka sana,kutoa lugha ya kejeli na matusiView attachment 2204818
Siku zote kwenye harusi bwana harusi makini huwa hana mbwembwe. Mbwembwe anawaachia upande wa kikeni
Ahadi ya mayele ni mjinga pekee anaweza kumchukulia serious mtu ambaye Geita Gold alilendemka kama uji wa magadi afu ndio aje kuwa tishio ina hitaji ubongo wa nzi kuwa na fikra hizoTatizo Mkolo washajua hyo mechi hawawezi kuchomoka sembuse na Ile ahadi ya Mayele.
Sasa hawawezi kuleta mbwembwe lazima waende kinyonge dadeq.. kesho kumenywa kupo palepale
Hizi mbinu za kitoto, uwa zinaishia kwa kupewa kichapo na kutoka aibuMind game ndio kama hizi sio kuwanga katikati ya uwanja tena ugenini,hii game Yanga wanafanya kama wanaiogopa mikia ili wajae kwenye reli mapema tu tuwapasue
Ndio kukomaa huko kisoka tunakotaka hata Yanga siku moja waje wafikie level hizoIla Simba safari hii wamekula buyu kama hamna kitu hivi kinachotokea yaani
Una chuki mno na Mayele kuliko Yanga yenyeweAhadi ya mayele ni mjinga pekee anaweza kumchukulia serious mtu ambaye Geita Gold alilendemka kama uji wa magadi afu ndio aje kuwa tishio ina hitaji ubongo wa nzi kuwa na fikra hizo
Halafu tumekaa kimya tukijua mmejifunza, mwaka jana mlikuwa mnasema tarehe 11 lazima awafunge, lakini matokeo yake hata dakika 90 hakuzimaliza zote na aliye mbadili hata mpira hakugusa.
Comment za namna hii nishazizoeaUna chuki mno na Mayele kuliko Yanga yenyewe