Ndio kukomaa huko kisoka tunakotaka hata Yanga siku moja waje wafikie level hizo
Ukishapata upinzani kwa Al Ahly, Tp Mazembe, Rs Berkane, USGN, Orlando, Kaizer Chiefs utagundua wazo la kuipigia promo mechi ya Yanga kwa terms za kiupinzani ni bonge moja la UPIMBI
Hii mechi pengine Yanga walikuwa na mahesabu nayo miezi mingi huko nyuma lakini kwa ssisi Simba nikiwemo mimi nimekuja kuijua jana
Hiyo inakupa tafsiri gani?
Ni kwamba wakati Simba anafikiria ni namna gani atafuzu nusu fainali club bingwa ikiwezekana na kuchukua ndoo kabisa, Yanga anafikiria afanye nini ili kumfunga Simba.