Nilijua ukimya mwingi wa Simba SC utaiumiza Yanga

Nilijua ukimya mwingi wa Simba SC utaiumiza Yanga

Mtu umetoka kuliwa na waSauth nguv za kupiga kelele unatoa wapi, Yanga wanapiga tena ktk mshono
 
Chances ndio nini?

Mnasajili wachezaji kwa ajili ya chances?

Kitengeneza shambulizi sio kufunga, unaweza kutengeneza shambulizi halafu ukawa huna mbinu ya kufanya shambulizi lako lilete madhara

Hizo za kugonga mwamba na offtarget mbona kwa makambo ni nyomi sana lakini ndo mara zote anaanzia bench kwanini msimpange?

Kwa hiyo na sasa hivi mnategemea chances na offtarget?

Umeandika kama sio mtu wa mpira. Sijui kama kuna goli linaweza kupatikana pasipo kufanya shambulizi hata penati inapatikana kwa shambulizi. Mpaka hapa nimeshajua najadiliana na mtu wa aina gani
 
Inamaana wewe ni mkubwa kimawazo kuliko uongozi wa yanga ulioweka tume ya kulalamika kwenye press kila uchao?

Inamaana hawakufika angle hii unayoisema wewe hapa?
Swali langu nakuuliza ni uzembe upi uliotokea kwenye mechi ya Geita ilikuashiria kuwa ni rushwa? Na je kila uzembe kwenye mpira wa miguu ni rushwa?
 
Ndio kukomaa huko kisoka tunakotaka hata Yanga siku moja waje wafikie level hizo

Ukishapata upinzani kwa Al Ahly, Tp Mazembe, Rs Berkane, USGN, Orlando, Kaizer Chiefs utagundua wazo la kuipigia promo mechi ya Yanga kwa terms za kiupinzani ni bonge moja la UPIMBI

Hii mechi pengine Yanga walikuwa na mahesabu nayo miezi mingi huko nyuma lakini kwa ssisi Simba nikiwemo mimi nimekuja kuijua jana

Hiyo inakupa tafsiri gani?

Ni kwamba wakati Simba anafikiria ni namna gani atafuzu nusu fainali club bingwa ikiwezekana na kuchukua ndoo kabisa, Yanga anafikiria afanye nini ili kumfunga Simba.
Wewe ushaga kua mwehu bahati mbaya haujui
 
Umeandika kama sio mtu wa mpira. Sijui kama kuna goli linaweza kupatikana pasipo kufanya shambulizi hata penati inapatikana kwa shambulizi. Mpaka hapa nimeshajua najadiliana na mtu wa aina gani
We ndo umeandika kama hujui soka, sababu ya mugalu kukaa benchi ilichangiwa na hizo unazoziita chance ambazo hazizai magoli

Kocha angekuwa na maono kama yako basi tusingetegemea kumuona mugalu aki improve
 
Swali langu nakuuliza ni uzembe upi uliotokea kwenye mechi ya Geita ilikuashiria kuwa ni rushwa? Na je kila uzembe kwenye mpira wa miguu ni rushwa?
Magoli ya wazi ambayo walitakiwa kufunga ila wao wakawa wanampasia kipa.
 
Hua hazimo wewe basi wanakuvumilia tu
Kama unazungumzia akili uko sahihi kabisa

Ni kweli Sina akili na sio mara ya kwanza nakiri hili jambo

Mi sio mwanafunzi sasa akili za kazi gani?

Btw lets talk about this player
 
Chances ndio nini?

Mnasajili wachezaji kwa ajili ya chances?

Kitengeneza shambulizi sio kufunga, unaweza kutengeneza shambulizi halafu ukawa huna mbinu ya kufanya shambulizi lako lilete madhara

Hizo za kugonga mwamba na offtarget mbona kwa makambo ni nyomi sana lakini ndo mara zote anaanzia bench kwanini msimpange?

Kwa hiyo na sasa hivi mnategemea chances na offtarget?
Ndio maana nakuita mwehu kuna goli linafungwa bila kushambulia?
 
Ndio maana nakuita mwehu kuna goli linafungwa bila kushambulia?
We unapenda kushambulia au unapenda kufunga?

Kufunga ni kitu kingine na kushambulia ni kitu kingine

We unazungumzia shambulizi lisilo na madhara

Unaweza ukashambilia na ukafunga na unaweza ukashambulia na usifunge, sasa wewe unatoa pongezi kwa mtu anayeshambulia bila kufunga unampa high value kuliko anaye funga

Hujui kuwa baya lisilokudhuru ni jema lisilokiwa na faida?
 
Ndio kukomaa huko kisoka tunakotaka hata Yanga siku moja waje wafikie level hizo

Ukishapata upinzani kwa Al Ahly, Tp Mazembe, Rs Berkane, USGN, Orlando, Kaizer Chiefs utagundua wazo la kuipigia promo mechi ya Yanga kwa terms za kiupinzani ni bonge moja la UPIMBI

Hii mechi pengine Yanga walikuwa na mahesabu nayo miezi mingi huko nyuma lakini kwa ssisi Simba nikiwemo mimi nimekuja kuijua jana

Hiyo inakupa tafsiri gani?

Ni kwamba wakati Simba anafikiria ni namna gani atafuzu nusu fainali club bingwa ikiwezekana na kuchukua ndoo kabisa, Yanga anafikiria afanye nini ili kumfunga Simba.
Utopolo wana bado wana maono ya kuku- kuwaza kumfunga Simba. Wakati Simba maono yao ni kama ya Tai. Viwango vyao vya maono ya mafanikio kisoka vipo juu sana. Vimevuka mipaka ya nchi na kuwekeza nguvu kubwa kwenye mashindanonya CAF, bila kupuuzia NBC Premier league.
 
Ahadi ya mayele ni mjinga pekee anaweza kumchukulia serious mtu ambaye Geita Gold alilendemka kama uji wa magadi afu ndio aje kuwa tishio ina hitaji ubongo wa nzi kuwa na fikra hizo

Halafu tumekaa kimya tukijua mmejifunza, mwaka jana mlikuwa mnasema tarehe 11 lazima awafunge, lakini matokeo yake hata dakika 90 hakuzimaliza zote na aliye mbadili hata mpira hakugusa.
Geita Gold hawa hawa alowapiga bao pale Kirumba au!?
 
Utopolo wana bado wana maono ya kuku- kuwaza kumfunga Simba. Wakati Simba maono yao ni kama ya Tai. Viwango vyao vya maono ya mafanikio kisoka vipo juu sana. Vimevuka mipaka ya nchi na kuwekeza nguvu kubwa kwenye mashindanonya CAF, bila kupuuzia NBC Premier league.
Mimi kuna uwezekano hata wa mechi ya kesho nisiangalie kwasababu haina mvuto, mvuto unalazimishwa kwa dhana ya derby na sio hadhi

Na kama nitaangalia ujue sina chakufanya kupotezea muda na nitaingalia kama tizi tu nadhani hata mindset za wachezaji wa simba zipo katika angle hiyo.

Wao kucheza na sisi kuna kitu wanapata kwanza watafutaliwa sana kupitia jina la Simba na ndio maana unawaona wakilalamika kwanini hatufanyi promo.

Wachezaji wa Yanga wanaamini kesho ndio siku pekee ya kujituma ili mameneja wa club kubwa wawe impressed na vuwango vyao ikibidi wapate shavu wasajiliwe waondoke hapo

Kiufupi Yanga wanatembelea nyota ya simba, we don't need em' but they need us na ndio maana unaona aliyeluwa anasema derby ni azam na yanga kwenye speeches zake 70% ya maongezi yake ni simba na 10% ni yanga afu 20% ni shombo
 
Geita Gold hawa hawa alowapiga bao pale Kirumba au!?
Ni kwasababu tu hadi taasisi zetu za TAKUKURU nazo zina viongozi ambao wana utimu wa usimba na uyanga ma ndio maana hizo mechi zilivyoisha hakuna lolote lililo chukuliwa hatua za kisheria
 
Mbona nyie mliipigia promo mechi yetu wakati sio wenyeji?

Tena mara kibao mlikuwa mnatukumbusha humu kuwa subiri tarehe 11 mtamjua mayele ni nani

Yule mlopa naye huko insta alikuwa hakauki kila time ana mpost mayele na kusisitiza swala hilo hilo mpaka mimi nikaja kusema hapa kuwa anatengeneza dhana ya utabaka ndani ya club kwa kuwafanya wachezaji wengine wasiione thamani yao baada ya juhudi zao kumezwa na mchezaji mmoja kwa kigezo cha kuifunga simba kwenye ngao ya hisani.
Kwa maana hiyo hiyi ni kawaida kwa yanga haijalishi mwenyeji ni nani.

Yani mkuu kua mbali kimataifa haikupotezei asili yako, labda tu kama simba imeingia ubaridi kwa huu moto wa yanga.
 
Back
Top Bottom