Nilijua ukimya mwingi wa Simba SC utaiumiza Yanga

Kwa maana hiyo hiyi ni kawaida kwa yanga haijalishi mwenyeji ni nani.

Yani mkuu kua mbali kimataifa haikupotezei asili yako, labda tu kama simba imeingia ubaridi kwa huu moto wa yanga.
Kwanini isikupotezee?

Evolution inasema twiga asili yake hakuwa na shingo ndefu, uhaba wa majani ardhini ulimfamya anyanyue shingo kuyafata kwenye matawi ya juu na mpaka saizi ana shingo ndefu

Na ndio asili yake mpaka leo

Simba tushatengeneza asili yetu kwa kumpata mpinzani wetu (Al Ahly) ambaye hata kocha wake ana admit hilo kuwa hakuna sehemu ngumu kupata matokeo kama kwa mkapa akicheza na simba.

Ni muda sasa mkaendelea ku focus na mtani wenu Azam (hiyo ndio level yenu) kama ambavyo hata manara anasema.

Sisi tutaendelea kuangazia extra mile huko za kimataifa
 
Hayo ni maneno ya kishabiki ili kujifariji na kipigo cha kesho.

Kiukweli kabisa wanasimba mnaogopa, hata mtaani ubishani sio mkali kwakua mna woga mno.
Na sio kisa msemaji wenu kakaa kimya eti ndo kazuia ubishani mtaani, hapana ila tu ni kua wanasimba asilimia kubwa mna woga mioyoni mwenu.

Ombeni kesho mpate sare la sivyo sijui mtakua na hali gani ndgu zetu.
 
Kipigo nimepigwa na Geita, nimepigwa na mbeya city nimechukulia kawaida

What hurts the most nilipotolewa na orlando, hiyo ndio imeni pain sana mimi kwasababu achievements zangu nilizotarajia yamevurugika

Kufungwa na Uto kwangu sio big issue nitachukulia jambo hilo kwa mzani sawa na mbeya city au Geita

Lakini nyinyi kutufunga sisi mtashangilia sana kuliko furaha mnayoipata kubeba ubingwa

Kwa hiyo dhana ya kwamba wanasimba wanaiogopa yanga sio kweli na hili linathibitishwa na bumbuli mwenyewe

The reason mashabiki wa simba hawako motivated ni kwasababu tu wamekosa hope ya ubingwa plus kutolewa kimataifa lakini sio kwasababu ya yanga.

Kesho wote tutakuwepo hapa, tusomane baada ya mechi
 
We unapenda kushambulia au unapenda kufunga?

Kufunga ni kitu kingine na kushambulia ni kitu kingine

We unazungumzia shambulizi lisilo na madhara

Unaweza ukashambilia na ukafunga na unaweza ukashambulia na usifunge, sasa wewe unatoa pongezi kwa mtu anayeshambulia bila kufunga unampa high value kuliko anaye funga

Hujui kuwa baya lisilokudhuru ni jema lisilokiwa na faida?
kwahio Simba imefunga magoli mangapi mpka sasa na Yanga ina mangapi ili tujadili anae shambulia na anae funga
 
Utopolo wana bado wana maono ya kuku- kuwaza kumfunga Simba. Wakati Simba maono yao ni kama ya Tai. Viwango vyao vya maono ya mafanikio kisoka vipo juu sana. Vimevuka mipaka ya nchi na kuwekeza nguvu kubwa kwenye mashindanonya CAF, bila kupuuzia NBC Premier league.
Basi wajitoe ligi kuu hamieni hata South ama Misri.
 
Mkuu mtuwekee update hapa..ule Uzi mwingine unaudhi umechelewa hadi yule Joosevert ameanzisha kule..wakuu Ghazat..Okwi Boban Sunzu unatuangusha
 
Kipigo nimepigwa na Geita, nimepigwa na mbeya city nimechukulia kawaida

What hurts the most nilipotolewa na orlando, hiyo ndio imeni pain sana mimi kwasababu achievements zangu nilizotarajia yamevurugika

Kufungwa na Uto kwangu sio big issue nitachukulia jambo hilo kwa mzani sawa na mbeya city au Geita

Lakini nyinyi kutufunga sisi mtashangilia sana kuliko furaha mnayoipata kubeba ubingwa

Kwa hiyo dhana ya kwamba wanasimba wanaiogopa yanga sio kweli na hili linathibitishwa na bumbuli mwenyewe

The reason mashabiki wa simba hawako motivated ni kwasababu tu wamekosa hope ya ubingwa plus kutolewa kimataifa lakini sio kwasababu ya yanga.

Kesho wote tutakuwepo hapa, tusomane baada ya mechi
Nipo hapa baada ya mechi.

Hongereni sana watani.
Nilikua banda umiza hapa mtaani aisee wanasimba wameifurahia hii sare kama ile ya mzunguko wa kwanza

Niseme tu hongera mtani.
 
Simba sielewi kwanini hawakufungwa kwenye hii mechi, kuanzia uongozi, mashabiki mbaka wachezaji wote walionyesha wamesha kubali ila inaonekana kamati Yao ya ufundi iko vizuri sana.
 
Nipo hapa baada ya mechi.

Hongereni sana watani.
Nilikua banda umiza hapa mtaani aisee wanasimba wameifurahia hii sare kama ile ya mzunguko wa kwanza

Niseme tu hongera mtani.
Hiyo hongera wape hao waliofurahia sare

Mimi hapa hata kula nimeshindwa kwa uzembe wa wachezaji kutoshinda hii mechi
 
😂😂😂
Hata baadhi ya wachezaji wameokana wakifurahia hii sare.

Hata kocha wenu pale dakika za mwisho mwisho alionekana akimshawishi refa amalize mchezo haraka, ni matumaini yangu na yeye kaifurahia sare 😁😁
 
Mayele alishindwa kutetema kwasababu nyuma alikaa mwanaume
 
😁😁 Si unaona sasa, hii sare mmeifurahia basi tu mnavunga.
Mbona husemi nyie mmeshindwa kufunga kwasababu .......
 
[emoji16][emoji16] Si unaona sasa, hii sare mmeifurahia basi tu mnavunga.
Mbona husemi nyie mmeshindwa kufunga kwasababu .......
Yaani hawakai kufikiria kwanini tumeshindwa ku score kwa beki zile za Yanga ambazo wanazinanga kuwa ni mbovu badala yake wana msifia mtu aliyewafanya wasifungwe. Walikuja kuzuia kutofungwa tu hao
 
Back
Top Bottom