Nilijua ukimya mwingi wa Simba SC utaiumiza Yanga

Nilijua ukimya mwingi wa Simba SC utaiumiza Yanga

Yaani hawakai kufikiria kwanini tumeshindwa ku score kwa beki zile za Yanga ambazo wanazinanga kuwa ni mbovu badala yake wana msifia mtu aliyewafanya wasifungwe. Walikuja kuzuia kutofungwa tu hao
Ndio maana namwambia Scars kua wameifurahia sare.
 
Kwa uchawi tu nadhani yule mchezaji wa yanga angefanikiwa kuchukua ule uchawi pale kwa mikia leo wasingetoka nadhani mliona lile zogo la kuwania ile hirizi isitoke kwa manula
 
ball position ngapi kwa ngapi mpaka tushangilie sare wewe uto
Waulize ndgu zako makolo kwanini wanashangilia sasa.

Waulize kwanini wanawasifia sana mabeki wao kwa kumkaba mayele na sio kutoa kasoro za wafungaji wao kwanini hawajafunga.

Labda tuwakumbushe tu mchezo ulikua kati ya yanga na simba na sio mayele na simba😂😂
 
tunashangilia maan shot on target kwa uto ni 0
 
😂😂😂😂 Kwahiyo unashangilia kile kichwa cha mchongo hata mtoto wa daras la pili anadaka.

Ubingwa mmekosa, kimataifa mmechabangwa mmebaki kushangilia sare.
hatuna shida na ubingwa tumechukua mara 4 mfululizo
Ukila mlo moja kila siku lazima ukinai siku moja moja lazima ubadili mlo so tumewaachia nyie ubingwa wazee wa 0.5 ili ligi ichangamke
 
Kwanini isikupotezee?

Evolution inasema twiga asili yake hakuwa na shingo ndefu, uhaba wa majani ardhini ulimfamya anyanyue shingo kuyafata kwenye matawi ya juu na mpaka saizi ana shingo ndefu

Na ndio asili yake mpaka leo

Simba tushatengeneza asili yetu kwa kumpata mpinzani wetu (Al Ahly) ambaye hata kocha wake ana admit hilo kuwa hakuna sehemu ngumu kupata matokeo kama kwa mkapa akicheza na simba.

Ni muda sasa mkaendelea ku focus na mtani wenu Azam (hiyo ndio level yenu) kama ambavyo hata manara anasema.

Sisi tutaendelea kuangazia extra mile huko za kimataifa
Baada ya huu upupu ukashangilia droo na mayele kutofunga goli dhidi ya makolo
 
Nishangilie droo wakati nimecheza na kindergaten?

Huyo mayele mnayempa ujiko kwani jana alicheza?
Mechi ya jana ilipooza sana kwasababu Mayele hakuwepo upande wa Yanga huku Simba hikiwakosa zaidi ya wanne. Chama mwamba wa Lusaka kilio cha wanasimba hakupangwa, Morrison, Mugalu, Kibu Denis, Bwalya mzee wa soft touch hakuwepo pia. Mbaya zaidi mchezaji ambaye level zake ni za kimataifa huko ambaye mpaka kanzishiwa special thread yake kuwa hafanii na mchezaji yeyote bongo kwa uwezo wake naye hakuwepo wakuitwa Sakho.

Game ya kwanza msimu huu,mikia awakua na in target,kolo's wanajifariji tu but sare ya juzi mbaya kwao,acha waendelee kushangilia mayele kutofunga

20220501_172416.jpg
 
Back
Top Bottom