Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 Jul 13, 2024 #41 Mr Why said: Wadau nishaurini, Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani? Click to expand... Mkuu una akili timamu?au linalokushangaza hapo ni nini?watu kufanya mapenzi salama au!!!hebu kuwa mtu mzima bas
Mr Why said: Wadau nishaurini, Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani? Click to expand... Mkuu una akili timamu?au linalokushangaza hapo ni nini?watu kufanya mapenzi salama au!!!hebu kuwa mtu mzima bas
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Jul 13, 2024 #42 Isanga family said: Daah aisee Nchi ina watu hii... Click to expand... Wabad hatareee kama aziz k
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 13, 2024 #43 Kazi na dawa... Cc: Mahondaw
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,994 Reaction score 4,729 Jul 13, 2024 #44 Asa hapo nini kimekushangaza
T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 1,993 Reaction score 2,635 Jul 13, 2024 #45 Mr Why said: Wadau nishaurini, Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani? Click to expand... Kumbe unajenga? Hela umepata wapi?
Mr Why said: Wadau nishaurini, Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani? Click to expand... Kumbe unajenga? Hela umepata wapi?
Mr Why JF-Expert Member Joined Nov 27, 2019 Posts 2,235 Reaction score 4,252 Jul 13, 2024 Thread starter #46 The Initiator huru said: Kumbe unajenga? Hela umepata wapi? Click to expand... Inawezekana kwa watu wengine nikama kibanda mana watu wanatofautiana, mm kero yangu ni kibanda changu kufanywa danguro
The Initiator huru said: Kumbe unajenga? Hela umepata wapi? Click to expand... Inawezekana kwa watu wengine nikama kibanda mana watu wanatofautiana, mm kero yangu ni kibanda changu kufanywa danguro