Nilikopa bank Abc lakini nimeshangaa Kuna bank nyingine ndio wananikata Hilo deni,hii ipo vipi wakuu

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua mkopo kwao
 
access bank ndo wanaokudai, lipa deni
 
Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua mkopo kwao
Tigo sasa ni Yas na Halotel iko humohumo.

Cha msingi nenda ofisi uliyochukuwa mkopo ili muweke hesabu zenu vizuri siyo unakatwa halafu deni haliishi.
 
Ilishauzwa kwa access Bank.
Hivi vibenki vya kitapeli kwa watumishi binakwenda kupotea vyote baada ya watumishi sasa kuweza kukopa bank zote bila usumbufu.
Mimi nilikopa sana huko ABC kwasababu ya uchapu wao . Maana nmb, crdb, NBC walikuwa miungu watu. Mimi ni heri nikatwe pesa nyingi Kuliko kwenda kukopa kwenye mabenk ambayo afisa mikopo hugeuka Mungu.
Sasa rula imepita.
Safi sana
 
Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua mkopo kwao
Kama una deni Zantel, tigo (yas), ndo wanakata sababu Zantel kanunuliwa na tigo.
 
Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua mkopo kwao
Kiongozi
Bank ABC iliungana/ Ilichukuliwa na Access Bank tangia sep 2024, hivyo kinachofanyika ni sawa kabisa wala usiwe na wasiwasi
 
Ndio maana tumeaswa kukopesha Si kukopa kopa!

Ona sasa umeuzwa pamoja na benki ya ABC kwenda Access bank!

Riba ya access bank ni hatari na nusu,

Nenda kaangalie mkataba kama terms za riba na masharti ni zile zile au la,

Ukiambiwa urudishe mkopo uvunje mkataba utaweza?
 
Dawa ya Deni ni kulipa TU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua mkopo kwao
Itakua ndo hao hao, A = Access, B = Bank , C = Company. Sina hakika lakini
 
Back
Top Bottom