Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu.....lakini kwny suala la mkoa tena dah...!!
Hizi ni kampeni za kikafiri kabisa mleta uzi utalaaniwaMkuu ni promotion ya mtandao upi unaodhani wewe, au kuna mahali ktk huo uzi umeona nimetaja jina la mtandao wowote
Duh mwishowe utazoea na kua basha kamili.
Popoma GENTAMYCINE katika ubora wako,unajitahidi sana kujificha lakini wapi!
Nimeshakushtukia kitambo sana.
cc Ruttashobolwa Mussolin5 Super Handsome UncleBen
Siamini kama uyu ni gentamycine pia mbaka miandiko yao iko differ kabisaPopoma GENTAMYCINE katika ubora wako,unajitahidi sana kujificha lakini wapi!
Nimeshakushtukia kitambo sana.
cc Ruttashobolwa Mussolin5 Super Handsome UncleBen
Ish......niiweke tena humu Jf!?
Siamini kama uyu ni gentamycine pia mbaka miandiko yao iko differ kabisa
Wenzio wanataman wakutane na mikasa kama yako ya kuzawadiwa kidali wewe unaikimbia!!?
Tulia wewe humjui popoma,ni mjanja kuliko unavyofikiri wewe.Siamini kama uyu ni gentamycine pia mbaka miandiko yao iko differ kabisa
Inawezekana ni wewe ndo ulinibadilishia gia angani nikakupofoa rinda maana huwa hauachi kunifatafata, cjui una nyege gani zinakuwasha washa.......
Hahahahahaa dah nimecheka sana.Anawashwa na nyege huyo ndo maana anapenda kuparamia watu hovyo, huwa ananiudhi sana
general hii mikasa itaisha lini kwako?
Naweza kuamini lkn itanichukua mda wa kumchunguza zaidiHahahahahaa dah nimecheka sana.
Take it from me,ipo siku utaniambia.Naweza kuamini lkn itanichukua mda wa kumchunguza zaidi