General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,210
- Thread starter
- #181
hata mm nitakuwa msiri wake
Inawezekana sasa hatokupenda.......maana mi alimiambia kuwa alikuwa na sababu mbili tu, ya kwanza alinipenda na sababu ya pili ni kwamba alijua mi nitakuwa msiri wake......sasa we unaweza kuwa hauna hiyo sababu ya kwanza