Nilikua namsapoti Trump na Elon lakini kwa wachina naona bado hajapata funzo kwa walichofanya Huawei kipindi kile

Hii point number 2 ni mhim sana influnce ya usa ni pamoja na kuongeza mzunguko wa dollar yake dunian kupitia misaada sasa naona anajikata miguu mwenyewe
Wachache sana watakuelewa.

Kuna jamaa hapo juu wanabwabwaja tu
 
Mtu mweusi hałasu foreigner eti ana support Trump, maajabu makubwa sana 👏😂😂
 
Mtu mweusi hałasu foreigner eti ana support Trump, maajabu makubwa sana 👏😂😂
Kumeona mtu mwesihastahili kuwa na akili ndiyo maana hatakiwi kum support Trump? Nyie endelee kufuata mdundiko unapoelekea
 
Mmmmmmh kwamba Samsung na iPhone wakajiule kwa Huawei kwelii???
 
Pamoja na kuwapeni hizo 'rushwa', kuna wakati wowote mliwahi kumuunga mkino hata kule UN?
We umewahi kuona Rais wa Tz anakenua mdomo kulaani mauaji ya Palestina hadharani zaidi ya kuongea vichochoroni? Sababu kubwa ni kuogopa kunyimwa ‘misaada’,
 
Hujui kwamba hizo pesa sio misaada bali ni rushwa ku kuinfluence agenda zao kimataifa?
Trump hahitaji hizo influence,,Watanzania chukueni hyo nafasi ya kutoa misaada duniani ili na nyie mu influence ajenda zenu duniani mkuu.
 
chama chake ndiyo kinazidi kuwa na nguvu zaidi kwanii wazungu wanafurahia kutokuwepo wahamiaji haramu
 
Hivi kweli unaisifia huawei kweli?hyo simu anatumia nani, huawei ishajisifai
 
Ningeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu
Trump akachukue ushauri kwa Kanye West hao akina Jeff, Zuckerberg, na Elon Musk wanamtumbukiza shimoni kabisa uchaguzi huu ndio mwisho chama chake kushinda hawatokuja washinde chaguzi tena Trump kawaharibia vibaya vibaya
 
Ulikuwa unafanya kazi shirika gani? Pole sana karibu mtaani na kumbuka usije kutumia akiba vibaya
 
Na unaambiwa fentanly is much higher than coke
 
Umeandika kwa uchungu sanaa unatokea Virginia au huku huku Namtumbo?
 
Akili kubwa sana tena sanaa kama ya Papa Francis...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…