Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mweusi hałasu foreigner eti ana support Trump, maajabu makubwa sana 👏😂😂Unaanza vituko? Kwamba wewe ndiyo umeona kitendo cha Trump kuingia kwa nguvu ya watu amekosa washauri? Kwamba Trump na Elon na timu yao hawana washauri?
Leftwingers mna shida kubwa sana mahali. Ulitaka Trump aendelee kumuangalii tu China anavyotengeneza hizo sumu za Fentanly na kuziingiza Marekani kupitia Mexico na Canada kwenda kuua watu US?
USAID iendelee kuwa chaka la kupiga hela,? Huku misaada kupitia shirika hilo ikitumika kinyume na American policy huku ikiigombanisha US na host countries?
Kumeona mtu mwesihastahili kuwa na akili ndiyo maana hatakiwi kum support Trump? Nyie endelee kufuata mdundiko unapoelekeaMtu mweusi hałasu foreigner eti ana support Trump, maajabu makubwa sana 👏😂😂
Pole sana, kwa Trump mtu kama wewe ni kama bad appleKumeona mtu mwesihastahili kuwa na akili ndiyo maana hatakiwi kum support Trump? Nyie endelee kufuata mdundiko unapoelekea
Hujui kwamba hizo pesa sio misaada bali ni rushwa ku kuinfluence agenda zao kimataifa?Trump hahitaji hizo sifa za kijinga,kodi za USA zitatumika USA
Mmmmmmh kwamba Samsung na iPhone wakajiule kwa Huawei kwelii???Trump kuna sehemu anakosea.
Unajua Trump marekanj ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi
1)Issue ya kuongeza 10% tarrif kwa bidhaa za china anasahau mchina ukimbana kwenye crosshair basi anatoka kivingine kabisa. Hilo tuliiona kwa Huawei, baada ya sactions tulidhan huawei itakufa ila maajabu wanayoyafanya sasa Apple na Samsung wanasubiri. Na kwenye Tarif pia China wamejibu kwa kuongeza nao Tarrifs, ikumbukwe kati ya masoko makubwa ya EV duniani hasa EV za Tesla ni China. That means kwa hio move magari ya Tesla hayatouzika zsana china sabb price itakua juu ili kucover hizo tarrif, hapo trump na elon wamescore 'own goal'
2)Issue ya USAID.
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yyt kutoka africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line. Ila kwa sasa kavunja hilo, ni bonge moja la 'own goal' tena uwanja wa nyumbani. Lakini hio inawapa mwanya China na Urusi kukuza influence zao Africa.
Ningeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu
Haina shida. Huko mnakotekwa na kuuawa si ndiyo mnaonekana ni good apples, hongereniPole sana, kwa Trump mtu kama wewe ni kama bad apple
Pamoja na kuwapeni hizo 'rushwa', kuna wakati wowote mliwahi kumuunga mkino hata kule UN?Hujui kwamba hizo pesa sio misaada bali ni rushwa ku kuinfluence agenda zao kimataifa?
We umewahi kuona Rais wa Tz anakenua mdomo kulaani mauaji ya Palestina hadharani zaidi ya kuongea vichochoroni? Sababu kubwa ni kuogopa kunyimwa ‘misaada’,Pamoja na kuwapeni hizo 'rushwa', kuna wakati wowote mliwahi kumuunga mkino hata kule UN?
Trump hahitaji hizo influence,,Watanzania chukueni hyo nafasi ya kutoa misaada duniani ili na nyie mu influence ajenda zenu duniani mkuu.Hujui kwamba hizo pesa sio misaada bali ni rushwa ku kuinfluence agenda zao kimataifa?
chama chake ndiyo kinazidi kuwa na nguvu zaidi kwanii wazungu wanafurahia kutokuwepo wahamiaji haramuTrump kuna sehemu anakosea.
Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi
1)Issue ya kuongeza 10% tarrif kwa bidhaa za China anasahau Mchina ukimbana kwenye crosshair basi anatoka kivingine kabisa. Hilo tuliiona kwa Huawei, baada ya sactions tulidhan huawei itakufa ila maajabu wanayoyafanya sasa Apple na Samsung wanasubiri. Na kwenye Tarif pia China wamejibu kwa kuongeza nao Tarrifs, ikumbukwe kati ya masoko makubwa ya EV duniani hasa EV za Tesla ni China. That means kwa hio move magari ya Tesla hayatouzika zsana china sabb price itakua juu ili kucover hizo tarrif, hapo trump na elon wamescore 'own goal'
2)Issue ya USAID.
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yoyote kutoka Africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line. Ila kwa sasa kavunja hilo, ni bonge moja la 'own goal' tena uwanja wa nyumbani. Lakini hio inawapa mwanya China na Urusi kukuza influence zao Africa.
Ningeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu
Labda kama haujawahi kusikia.We umewahi kuona Rais wa Tz anakenua mdomo kulaani mauaji ya Palestina hadharani zaidi ya kuongea vichochoroni? Sababu kubwa ni kuogopa kunyimwa ‘misaada’,
Hivi kweli unaisifia huawei kweli?hyo simu anatumia nani, huawei ishajisifaiTrump kuna sehemu anakosea.
Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi
1)Issue ya kuongeza 10% tarrif kwa bidhaa za China anasahau Mchina ukimbana kwenye crosshair basi anatoka kivingine kabisa. Hilo tuliiona kwa Huawei, baada ya sactions tulidhan huawei itakufa ila maajabu wanayoyafanya sasa Apple na Samsung wanasubiri. Na kwenye Tarif pia China wamejibu kwa kuongeza nao Tarrifs, ikumbukwe kati ya masoko makubwa ya EV duniani hasa EV za Tesla ni China. That means kwa hio move magari ya Tesla hayatouzika zsana china sabb price itakua juu ili kucover hizo tarrif, hapo trump na elon wamescore 'own goal'
2)Issue ya USAID.
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yoyote kutoka Africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line. Ila kwa sasa kavunja hilo, ni bonge moja la 'own goal' tena uwanja wa nyumbani. Lakini hio inawapa mwanya China na Urusi kukuza influence zao Africa.
Ningeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu
Trump akachukue ushauri kwa Kanye West hao akina Jeff, Zuckerberg, na Elon Musk wanamtumbukiza shimoni kabisa uchaguzi huu ndio mwisho chama chake kushinda hawatokuja washinde chaguzi tena Trump kawaharibia vibaya vibayaNingeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu
Na unaambiwa fentanly is much higher than cokeUnaanza vituko? Kwamba wewe ndiyo umeona kitendo cha Trump kuingia kwa nguvu ya watu amekosa washauri? Kwamba Trump na Elon na timu yao hawana washauri?
Leftwingers mna shida kubwa sana mahali. Ulitaka Trump aendelee kumuangalii tu China anavyotengeneza hizo sumu za Fentanly na kuziingiza Marekani kupitia Mexico na Canada kwenda kuua watu US?
USAID iendelee kuwa chaka la kupiga hela,? Huku misaada kupitia shirika hilo ikitumika kinyume na American policy huku ikiigombanisha US na host countries?
Umeandika kwa uchungu sanaa unatokea Virginia au huku huku Namtumbo?Unaanza vituko? Kwamba wewe ndiyo umeona kitendo cha Trump kuingia kwa nguvu ya watu amekosa washauri? Kwamba Trump na Elon na timu yao hawana washauri?
Leftwingers mna shida kubwa sana mahali. Ulitaka Trump aendelee kumuangalii tu China anavyotengeneza hizo sumu za Fentanly na kuziingiza Marekani kupitia Mexico na Canada kwenda kuua watu US?
USAID iendelee kuwa chaka la kupiga hela,? Huku misaada kupitia shirika hilo ikitumika kinyume na American policy huku ikiigombanisha US na host countries?
Akili kubwa sana tena sanaa kama ya Papa Francis...kwa hiyo wewe unamzidi ufahamu Elon Musk na timu ya washauri wake wote kwamba hawakuangakia mbele nini kitatokea!!!!!?
huna unachokijua juu ya mkakati wa hawa miamba nadhani hata kipindi cha kampeni ulidhani Trump atapigwa chini kwenye uchaguzi
hao ni akili kubwa