Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Trump kuna sehemu anakosea.
Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi
1)Issue ya kuongeza 10% tarrif kwa bidhaa za China anasahau Mchina ukimbana kwenye crosshair basi anatoka kivingine kabisa. Hilo tuliiona kwa Huawei, baada ya sactions tulidhan huawei itakufa ila maajabu wanayoyafanya sasa Apple na Samsung wanasubiri. Na kwenye Tarif pia China wamejibu kwa kuongeza nao Tarrifs, ikumbukwe kati ya masoko makubwa ya EV duniani hasa EV za Tesla ni China. That means kwa hio move magari ya Tesla hayatouzika zsana china sabb price itakua juu ili kucover hizo tarrif, hapo trump na elon wamescore 'own goal'
2)Issue ya USAID.
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yoyote kutoka Africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line. Ila kwa sasa kavunja hilo, ni bonge moja la 'own goal' tena uwanja wa nyumbani. Lakini hio inawapa mwanya China na Urusi kukuza influence zao Africa.
Ningeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu