Nilikua namsapoti Trump na Elon lakini kwa wachina naona bado hajapata funzo kwa walichofanya Huawei kipindi kile

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Trump kuna sehemu anakosea.

Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi

1)Issue ya kuongeza 10% tarrif kwa bidhaa za China anasahau Mchina ukimbana kwenye crosshair basi anatoka kivingine kabisa. Hilo tuliiona kwa Huawei, baada ya sactions tulidhan huawei itakufa ila maajabu wanayoyafanya sasa Apple na Samsung wanasubiri. Na kwenye Tarif pia China wamejibu kwa kuongeza nao Tarrifs, ikumbukwe kati ya masoko makubwa ya EV duniani hasa EV za Tesla ni China. That means kwa hio move magari ya Tesla hayatouzika zsana china sabb price itakua juu ili kucover hizo tarrif, hapo trump na elon wamescore 'own goal'

2)Issue ya USAID.
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yoyote kutoka Africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line. Ila kwa sasa kavunja hilo, ni bonge moja la 'own goal' tena uwanja wa nyumbani. Lakini hio inawapa mwanya China na Urusi kukuza influence zao Africa.

Ningeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu
 
Trump kuna sehemu anakosea.

Unajua Trump marekanj ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi

1)Issue ya kuongeza 10% tarrif kwa bidhaa za china anasahau mchina ukimbana kwenye crosshair basi anatoka kivingine kabisa. Hilo tuliiona kwa Huawei, baada ya sactions tulidhan huawei itakufa ila maajabu wanayoyafanya sasa Apple na Samsung wanasubiri. Na kwenye Tarif pia China wamejibu kwa kuongeza nao Tarrifs, ikumbukwe kati ya masoko makubwa ya EV duniani hasa EV za Tesla ni China. That means kwa hio move magari ya Tesla hayatouzika zsana china sabb price itakua juu ili kucover hizo tarrif, hapo trump na elon wamescore 'own goal'

2)Issue ya USAID.
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yyt kutoka africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line. Ila kwa sasa kavunja hilo, ni bonge moja la 'own goal' tena uwanja wa nyumbani. Lakini hio inawapa mwanya China na Urusi kukuza influence zao Africa.

Trump hahitaji hizo sifa za kijinga,kodi za USA zitatumika USA
 
Unaanza vituko? Kwamba wewe ndiyo umeona kitendo cha Trump kuingia kwa nguvu ya watu amekosa washauri? Kwamba Trump na Elon na timu yao hawana washauri?

Leftwingers mna shida kubwa sana mahali. Ulitaka Trump aendelee kumuangalii tu China anavyotengeneza hizo sumu za Fentanly na kuziingiza Marekani kupitia Mexico na Canada kwenda kuua watu US?

USAID iendelee kuwa chaka la kupiga hela,? Huku misaada kupitia shirika hilo ikitumika kinyume na American policy huku ikiigombanisha US na host countries?
 
TUANZE NA POINT YAKO NAMBA 1 HAPO TRUMP NI BUSINESS MAN HAPO KUYUMBA SAHAU 😂😂
TUSHUKE POINT YAKO NAMBA 2 HAPO DHAIRI NIA NA MADHUMUNI YASHAELEWEKA PIGA CHINI WADHAMINI WOTE WA UPINDE SASA KWANINI WEWE UONE HALINA MAANA AU WEWE NI......
 
Ndo kwanza kumekucha.BADO HAMJASEMA!!!

📌📌TURAMPU BABA KAZA HUMOHUMO!!!KUNA WATU WAMEZOEA VYA KUNYONGA HAWAWEZI VYA KUCHINJA🤗🤗🤗
 
Unaanza vituko? Kwamba wewe ndiyo umeona kitendo cha Trump kuingia kwa nguvu ya watu amekosa washauri? Kwamba Trump na Elon na timu yao hawana washauri?

Leftwingers mna shida kubwa sana mahali. Ulitaka Trump aendelee kumuangalii tu China anavyotengeneza hizo sumu za Fentanly na kuziingiza Marekani kupitia Mexico na Canada kwenda kuua watu US?

USAID iendelee kuwa chaka la kupiga hela,? Huku misaada kupitia shirika hilo ikitumika kinyume na American policy huku ikiigombanisha US na host countries?
Hivi hizo fentanly ni kwamba China anajipelekea tu marekani ?

Marekani imeoza kuanzia culture kwa ku entertain mambo ya kipuuzi na ndiyo yanayo zalisha mpaka matumizi yasiyo faa ya dawa za kutuliza maumivu kutumika kama madawa ya kulevya.

Na ubaya ni kuwa marekani wana entertain uhuni kwa kuita uhuru wa mtu huu upuuzi wa fentanly this fentanly that huwezi ukuta China zinapo zalishwa.
 
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yyt kutoka africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line.
Kuna wakati Mungu huleta Nabii na kutaka jamii fulani iwaokowe, tatizo linakuja kwa hio jamii inaona huyo Nabii kaja kuwatia adabu. Sababu vya bure watakosa na wao washazowea kupewa bure tu.
 
Nitakua naupdate huu uzi kwa makosa ya kiufundi anayofanya bwana Trump, karibuni kwa Maoni great thinkers
Fikiria kwa undani kabla ya kulaumu. Yapo yanayomlazimu Trump kufanya anavyofanya wala sio utashi wake tu.

Dunia inabadilika na Marekani haiwezi kuendelea kuwa mfadhili maeneo mengi sababu kuna nchi matajiri wapya wanaopata faida kubwa hivyo kufanya yeye kupungua.

Watu wengi wanadhani Trump anaamua tu kumbe mazingira nayo yanamtaka aamue anavyoamua.
 
Trump kuna sehemu anakosea.

Unajua Trump marekanj ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi

1)Issue ya kuongeza 10% tarrif kwa bidhaa za china anasahau mchina ukimbana kwenye crosshair basi anatoka kivingine kabisa. Hilo tuliiona kwa Huawei, baada ya sactions tulidhan huawei itakufa ila maajabu wanayoyafanya sasa Apple na Samsung wanasubiri. Na kwenye Tarif pia China wamejibu kwa kuongeza nao Tarrifs, ikumbukwe kati ya masoko makubwa ya EV duniani hasa EV za Tesla ni China. That means kwa hio move magari ya Tesla hayatouzika zsana china sabb price itakua juu ili kucover hizo tarrif, hapo trump na elon wamescore 'own goal'

2)Issue ya USAID.
Hapa ndo kavurunda kabisa, Influence na power ya marekani imejengwa sana na misaada yao. Mfano, nchi yyt kutoka africa ilikua ikikataa agenda za USA basi wangetumia tu kitisho cha 'tunastop misaada' hapohapo hio nchi ingerudi kwenye line. Ila kwa sasa kavunja hilo, ni bonge moja la 'own goal' tena uwanja wa nyumbani. Lakini hio inawapa mwanya China na Urusi kukuza influence zao Africa.

Ningeandika mengi ila tayari naona Trump hii awamu kachemsha, awamu inayofuata chama chake kisahau kabisa kushinda, na nadhan watafail kwa record loss sabab US kila kona wanamsagia sumu
Hii point number 2 ni mhim sana influnce ya usa ni pamoja na kuongeza mzunguko wa dollar yake dunian kupitia misaada sasa naona anajikata miguu mwenyewe
 
kwa hiyo wewe unamzidi ufahamu Elon Musk na timu ya washauri wake wote kwamba hawakuangakia mbele nini kitatokea!!!!!?

huna unachokijua juu ya mkakati wa hawa miamba nadhani hata kipindi cha kampeni ulidhani Trump atapigwa chini kwenye uchaguzi

hao ni akili kubwa
 
Screenshot_2025-02-04-21-39-02-01.jpg
 
Back
Top Bottom