Ramtz Jr JF-Expert Member Joined Jun 18, 2026 Posts 269 Reaction score 529 Jun 22, 2026 #1 Hii thread ni ya kuchana singer anaanza mwenzako unakuja kuendeleza kwa reply NAANZA Ety nilikua safari naenda zanzibali kufika kwenye meli nikaiona pisi kali kaifuta kwenda kujalibu zari dada mambo akanijibu shwali ENDELEA SASA
Hii thread ni ya kuchana singer anaanza mwenzako unakuja kuendeleza kwa reply NAANZA Ety nilikua safari naenda zanzibali kufika kwenye meli nikaiona pisi kali kaifuta kwenda kujalibu zari dada mambo akanijibu shwali ENDELEA SASA
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,705 Reaction score 30,041 Jun 22, 2026 #2 Acha ujinga homeboy
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,763 Reaction score 22,998 Jun 22, 2026 #3 Hili tatizo la afya ya akili na upweke jamii inabidi ilitazame kiundani zaidi. Hali inatisha
Ramtz Jr JF-Expert Member Joined Jun 18, 2026 Posts 269 Reaction score 529 Jun 22, 2026 Thread starter #4 MastaKiraka said: NIACHE UJINGA SASA Click to expand...
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Jun 22, 2026 #5 Kujalibu Zari Shwali Maana yake ni nini?
G Girl Poet Senior Member Joined Sep 5, 2025 Posts 149 Reaction score 355 Jun 22, 2026 #6 Ramtz Jr said: Hii thread ni ya kuchana singer anaanza mwenzako unakuja kuendeleza kwa reply NAANZA Ety nilikua safari naenda zanzibali kufika kwenye meli nikaiona pisi kali kaifuta kwenda kujalibu zari dada mambo akanijibu shwali ENDELEA SASA Click to expand... Shwali...? Shwali ndio ni kaka? Kama ni lugha ya kigeni siijui mimi hapa. ENDELEA...
Ramtz Jr said: Hii thread ni ya kuchana singer anaanza mwenzako unakuja kuendeleza kwa reply NAANZA Ety nilikua safari naenda zanzibali kufika kwenye meli nikaiona pisi kali kaifuta kwenda kujalibu zari dada mambo akanijibu shwali ENDELEA SASA Click to expand... Shwali...? Shwali ndio ni kaka? Kama ni lugha ya kigeni siijui mimi hapa. ENDELEA...