Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ukute anaomba afumaniwe apigwe had asitamanike๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ "๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—บ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ" ๐—ต๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—น๐—ฒ๐—ผ, ๐˜๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ท๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—œ๐—” ๐—ธ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ผ.
 
Nyie mnajua mbona nimekuwa mtumwa wa umarioo? Nilitendwa mara kadhaa na hawa vibinti vidogo vidogo mpaka suruali zangu zote zilikuwa zinanipwaya!!! Sikuhizi nkikaribia kukutana nao nasepa kisa wananipa kichefuchefu mno!!! Lakini Mungu ni mwema niliangukia mumama ana pepo ya upwiru baada ya lisaa ana ugwadu, poleni makapera na wajane..........naenjoy sasaiv natizama televisheni ananipikia kitimoto ikifika usiku ni chombezo
Kilio chaja chief umewahi kujiuliza ikitokea wewe na yeye mkawa mbali kwa mda wa mwezi mmoja tu nini kitatokea
Alafu kwa sasa ndiyo utalia kama mbwa koko sasa
 
(Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu)
Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu.

Kwa kuwa naongea leo kwakuwa nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya.

Nilikupenda sana wewe ila mke wangu sikujua kama ningeweza kuliharibu ua kwa kulimwagia maji mengi.

Pamoja na kukusifia mbele za watu ila wewe ukaamua kucheza na moyo wangu.

Kuna muda mwingine sumu na dawa inatofautishwa na vipimo, nilipumbazwa na upendo wako wa kishenzi nikawa napenda ukweli ila naamini uongo.

Pamoja na michezo yote na umaridadi wangu chumbani kwa kulamba tundu la sindano huku wewe kwa wengine ulilamba uzi kama vile mapenzi huanza basi pia hufa.

Sawa nisamehe mimi kwa kukuamini, nitaondoka kwa sababu nimekosa sababu ya kubaki.

Nakuombea sana ila jiombee mwenyewe maana hujui nakuombea nini!
Marriage is not for everyone.[emoji3577]
 
Alfa
Bravo
Charlie
We need a backup...we are under heavy fire do you copy?
I repeat
Do you copy?
Over and out
Alfa
Bravo
Charlie
Tunahitaji msaada...tupo chini ya moto mzito umepiga nakala?
Ninarudia
Umepiga nakala?
Juu na nje
 
Ukipata pesa ndo mzuka wa kukiwasha unaongezeka, ngoja uishiwe Hela ya kula na bado uwe na madeni ya kodi etc, uone kama utapiga shoo ya maana.
 
Kama huna Hela, halafu haikupi stress, it means akili Yako imejikubali kuwa masikini, basi hapo utakuwa na matatizo makubwa sana ya kiakili.
 
Kwa machungu makubwa

We jamaa unajua uchungu wa umeacha wanapika wali unafunua hotpot unakuta ugali
 
Back
Top Bottom