Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Mwingine huyo kayatimba, gonjwa lake ni kaswende. Pole yakeGono iyo.
Tafuta uzi wa Money Heist unasema Nimeyatimba.
Pagusa ni mbaya sana aiseee. DahWanaita pangusa...Halafu kuna Ngoma Ikiandikwa kwa herufi kubwa ni hatari ila herufi ndogo ni salama ,Ebu angalai "hiv" so harmless
madhara ya doxTatizo ni pale unafuta vizuri, na kutia dawa baada ya muda inarudi ngozi ya mfumo ule ule.. hapa ndo pananichanganya Kaka.
kwa baadhi ya watumiajiAah ndo hufanya hivi.
AzumaaaaaaHabari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri?
Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa cha uume vikatokea vipele vingi vingi ambavyo vikawa vinatoa maji maji meupe, ikabidi niende hospital kupima sikuwa na ugonjwa wa zinaa ila Dr akasema wanipige sindano zile tano za cetr.... na dozi ya Dox ya siku tano.
Hali Musasho imeisha changamoto niliyonayo ni uume kwenye kichwa ngozi yake imekuwa na rangi yenye kama hali ya usaa usaa nimetumia iodine kukifuta wiki sasa, unakifuta baada ya muda hilo futa kama usaa linarudi na linaseleleka kushuka chini ya kichwa cha uume?.
Nimebadilisha dawa nikakisafisha kwa kutumia hydrogen peroxide kidonda chote; nikaweka sehemu yenye ki mchubuko nikainyunyizia dawa lakini asubuhi nimeamka ile hali ya ngozi kuwa na futa imerudi tena msaada wenu tafadhali..
Ajali kazini.
Kaswende lilikua jina la mtemi wa tarafa ya Itwangi kabla ya uhuru😎😂😂😂 Mwingine huyo kayatimba, gonjwa lake ni kaswende. Pole yake
😂😁Nyetoni Milele 😍
ukisugua ikakaa sawaa, tafuta mafuta ya nazi uwe unapaka mara kwa mara, pasikauke, pia tafuta vidonge vya kukaushaa ampliclox nk!Tatizo ni pale unafuta vizuri, na kutia dawa baada ya muda inarudi ngozi ya mfumo ule ule.. hapa ndo pananichanganya Kaka.
Valentine unamtoa nani??