Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Nenda hospitali, wengi husema wameenda hospitali kumbe wamekula azuma na kuvunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyuzi kama hizi huwezi wasikia wakisema nyeto ina madhara
Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri?
Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa cha uume vikatokea vipele vingi vingi ambavyo vikawa vinatoa maji maji meupe, ikabidi niende hospital kupima sikuwa na ugonjwa wa zinaa ila Dr akasema wanipige sindano zile tano za cetr.... na dozi ya Dox ya siku tano.
Hali Musasho imeisha changamoto niliyonayo ni uume kwenye kichwa ngozi yake imekuwa na rangi yenye kama hali ya usaa usaa nimetumia iodine kukifuta wiki sasa, unakifuta baada ya muda hilo futa kama usaa linarudi na linaseleleka kushuka chini ya kichwa cha uume?.
Nimebadilisha dawa nikakisafisha kwa kutumia hydrogen peroxide kidonda chote; nikaweka sehemu yenye ki mchubuko nikainyunyizia dawa lakini asubuhi nimeamka ile hali ya ngozi kuwa na futa imerudi tena msaada wenu tafadhali..
Ajali kazini.
Unasema kwakua umekamatika, jkipona unasahau yote 😂😂😂😂nipone then madem sitaki tena.
wewe apo🥰Valentine unamtoa nani??
Ati nahaupo tz wewe jma?wewe apo🥰
Na shida hivi vigonjwa hata ukivaa ndom unaweza bado ukapata....yale majimaji yakigusa ngozi tu au ndom wakat unavua yale majimaji yakamgusa Asumani kichwa wazi basi ushayavagaaMmmhhhhh!!!! Acha niendelee tu kutulia. Plan za mwaka huu sitaki kabisa mech za nje. Watoto wa kike siku wachaf chaf sana asilimia kubwa
Na ndoa hatuzitaki 😂😂Nyetoni Milele 😍
Ndio hapo sasa...sitaki hata kusikia hiz habar..siku niliopata huu upumbavu, nikaapa sitarudia kwasababu nilijidharau sana. Yan nikajiona fala sana kwel mimi wa kuugua gono?? Walevi wa matap tap waugue gono na mimi na akil zangubhiz niugue gono kwel? Nilijichukia na kuuchukia sana huu ujinga..nikasema haitakaa ijirudie.Na shida hivi vigonjwa hata ukivaa ndom unaweza bado ukapata....yale majimaji yakigusa ngozi tu au ndom wakat unavua yale majimaji yakamgusa Asumani kichwa wazi basi ushayavagaa
Hahaha gono linatia aibu sana, ndo maana watu wanaishia pharmacy wanabugia azuma,,hivi vigonjwa vilinisumbua sana enz za chuo, usiku unakula mzigo asubuhi unaamka uende chooni unakuta jamaa na usaha,,ukimuangalia huyo dem aliekupa hilo gono hata huamini na ukimuambia kakuambukiza gono kanakua kakali sana,,,halaf sijaonaga dem anaelalamika kuhusu gono zaidi naona masela tu japo madem ndo wasambazaji wakubwaNdio hapo sasa...sitaki hata kusikia hiz habar..siku niliopata huu upumbavu, nikaapa sitarudia kwasababu nilijidharau sana. Yan nikajiona fala sana kwel mimi wa kuugua gono?? Walevi wa matap tap waugue gono na mimi na akil zangubhiz niugue gono kwel? Nilijichukia na kuuchukia sana huu ujinga..nikasema haitakaa ijirudie.
Nakumbuka nilikua arusha, nikafika hospital, dokta akawa kama anavunga kuwa hii ni UTI kali , nikwambia dokta sikiliza, we hata usinitie moyo, hili ni gone ,nimeshasikia sana habar zake na leo nimelivagaa. Haina haja ya kunificha
.alicheka sana yule mshkaji..
Bora enzi za uanafunzi, mambo yanakua mengi, utu uziman ni aibu sana.Hahaha gono linatia aibu sana, ndo maana watu wanaishia pharmacy wanabugia azuma,,hivi vigonjwa vilinisumbua sana enz za chuo, usiku unakula mzigo asubuhi unaamka uende chooni unakuta jamaa na usaha,,ukimuangalia huyo dem aliekupa hilo gono hata huamini na ukimuambia kakuambukiza gono kanakua kakali sana,,,halaf sijaonaga dem anaelalamika kuhusu gono zaidi naona masela tu japo madem ndo wasambazaji wakubwa
Hahaha.....cha msingi ni kupambana nipone then madem sitaki tena
Mliungana kucheka pamoja?Ndio hapo sasa...sitaki hata kusikia hiz habar..siku niliopata huu upumbavu, nikaapa sitarudia kwasababu nilijidharau sana. Yan nikajiona fala sana kwel mimi wa kuugua gono?? Walevi wa matap tap waugue gono na mimi na akil zangubhiz niugue gono kwel? Nilijichukia na kuuchukia sana huu ujinga..nikasema haitakaa ijirudie.
Nakumbuka nilikua arusha, nikafika hospital, dokta akawa kama anavunga kuwa hii ni UTI kali , nikwambia dokta sikiliza, we hata usinitie moyo, hili ni gone ,nimeshasikia sana habar zake na leo nimelivagaa. Haina haja ya kunificha
.alicheka sana yule mshkaji..
Hata nguvu ya kucheka nilikua nayo basi..nilikua serious maana niliona dokta kama anataka kunichanganya vile anavyoniigizia, nikawa nahis kama ananidhihaki , kuni mock mchana kweupe before my eyesMliungana kucheka pamoja?
That's my plan too, hakuna kitu special zaidi ya kupukutisha pesa na kuambukizwa magonjwa ya zinaa.Mmmhhhhh!!!! Acha niendelee tu kutulia. Plan za mwaka huu sitaki kabisa mech za nje. Watoto wa kike siku wachaf chaf sana asilimia kubwa
Utu uzimani sijawah kupata hao jamaa,ila chuo vilinipiga mara nyingi hadi nikawa najiuliza kama huko mbeleni nitaweza kuzalisha kweli maana nilisoma ukiugua sana inaweza athiri uwezo wa kuzalisha, gono ilikua inapiga hata ukivaa ndom badae nikawa nawaogopa madem sema hio ilikua kenya, huku bongo haijanisumbua sana ,madem wa kenya na uzungu mwingi ila gono kama loteBora enzi za uanafunzi, mambo yanakua mengi, utu uziman ni aibu sana.
Wanawake hawalalamiki ila huwa wana washwa washwa plus kiharufu cha samaki