Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

Usimsikilize mtu nje ya mm tu hapa utanishukuru asubuhi ya kesho.

Nenda zahanat ya mtaan au phamarcy kubwa mwambie akuchome sindano ya power saver ni moja tu.
.
Hospital huwa wanaanza na dawa dozi ya chini ukirudi hujapona wanaongea mpaka uanze kuoza ndo watakupa power saver.
Kama huwezi acha ukahaba basi nakupa siri ukiamka inawasha nyoosha piga hiyo jion mzima.
 
kama ni jeraha nje ya uume,...kuna dawa mbalimbali unaweza pata hospital, lakini hata hivyo hakikisha unalala bila boksa,.na unavaa zaidi nguo nyepesi wakati wa mchana..joto huchelewesha sana vidonda vya sehemu za siri vyenye infections kupona..
 
Azumaaaaaa
 
Tatizo ni pale unafuta vizuri, na kutia dawa baada ya muda inarudi ngozi ya mfumo ule ule.. hapa ndo pananichanganya Kaka.
ukisugua ikakaa sawaa, tafuta mafuta ya nazi uwe unapaka mara kwa mara, pasikauke, pia tafuta vidonge vya kukaushaa ampliclox nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…