Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kabisaa chief..yan hakuna jipya lolote njeThat's my plan too, hakuna kitu special zaidi ya kupukutisha pesa na kuambukizwa magonjwa ya zinaa.
Nadhani gono na jamii zake zimetapakaa sana saivi.
Wachfu nasikia hawajioshagi kwa maji.wanatumia tissueUtu uzimani sijawah kupata hao jamaa,ila chuo vilinipiga mara nyingi hadi nikawa najiuliza kama huko mbeleni nitaweza kuzalisha kweli maana nilisoma ukiugua sana inaweza athiri uwezo wa kuzalisha, gono ilikua inapiga hata ukivaa ndom badae nikawa nawaogopa madem sema hio ilikua kenya, huku bongo haijanisumbua sana ,madem wa kenya na uzungu mwingi ila gono kama lote
[emoji2296]Rudi hospital Tena kwamweleze docta nn kimetokeaa baada ya kumaliza dozi naamini atakusaidia zaidii.alafu kingineee punguzaa ngono zembe kijana tumia ndomu ,,,
Ukiponaa hapo usiache kupima ngomaa [emoji23]
Itakua kweli asee, mana sio kwa kupigwa na gono vile, gono hata ndom halisikii kitu ambacho bongo sikuwahi shuhudia,,,,ila naona sasa yale magono yao ndo na bongo yameingia sasa wanayaita uti kaliWachfu nasikia hawajioshagi kwa maji.wanatumia tissue
[emoji848]Nyetoni Milele [emoji7]
Ma she siku hiz full kunukia full kupendeza ila baba usiombe, wana magono balaa..nje nje yan gusa unaseItakua kweli asee, mana sio kwa kupigwa na gono vile, gono hata ndom halisikii kitu ambacho bongo sikuwahi shuhudia,,,,ila naona sasa yale magono yao ndo na bongo yameingia sasa wanayaita uti kali
kweliNa shida hivi vigonjwa hata ukivaa ndom unaweza bado ukapata....yale majimaji yakigusa ngozi tu au ndom wakat unavua yale majimaji yakamgusa Asumani kichwa wazi basi ushayavagaa
Natulia na wife tu, maana ukilileta gonjwa nyumbani ni msala kilo 100, wife atakuona ushaanza kua zoazoa na unatembea pekupeku wakat inawezekana ulivaa zanaMa she siku hiz full kunukia full kupendeza ila baba usiombe, wana magono balaa..nje nje yan gusa unase
Si NDIYO mnasemaaga hamli pipi na ganda haya Sasa hayo ndo matokeoHabari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri?
Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa cha uume vikatokea vipele vingi vingi ambavyo vikawa vinatoa maji maji meupe, ikabidi niende hospital kupima sikuwa na ugonjwa wa zinaa ila Dr akasema wanipige sindano zile tano za cetr.... na dozi ya Dox ya siku tano.
Hali Musasho imeisha changamoto niliyonayo ni uume kwenye kichwa ngozi yake imekuwa na rangi yenye kama hali ya usaa usaa nimetumia iodine kukifuta wiki sasa, unakifuta baada ya muda hilo futa kama usaa linarudi na linaseleleka kushuka chini ya kichwa cha uume?.
Nimebadilisha dawa nikakisafisha kwa kutumia hydrogen peroxide kidonda chote; nikaweka sehemu yenye ki mchubuko nikainyunyizia dawa lakini asubuhi nimeamka ile hali ya ngozi kuwa na futa imerudi tena msaada wenu tafadhali..
Ajali kazini.
Sisi ambao tunazeeka na hatujapata tunashukuru kwa kweli, aendelee kututetea.Utu uzimani sijawah kupata hao jamaa,ila chuo vilinipiga mara nyingi hadi nikawa najiuliza kama huko mbeleni nitaweza kuzalisha kweli maana nilisoma ukiugua sana inaweza athiri uwezo wa kuzalisha, gono ilikua inapiga hata ukivaa ndom badae nikawa nawaogopa madem sema hio ilikua kenya, huku bongo haijanisumbua sana ,madem wa kenya na uzungu mwingi ila gono kama lote
NAKAZIANa ndoa hatuzitaki ๐๐
Kama umemaliza sindano haijavuka siku 7 tulia zipite .. utaona mabadilikoSina namna ishatokea, cha msingi ni kupambana nipone then madem sitaki tena.
Hahahaah akaangua kicheko dah...Hata nguvu ya kucheka nilikua nayo basi..nilikua serious maana niliona dokta kama anataka kunichanganya vile anavyoniigizia, nikawa nahis kama ananidhihaki , kuni mock mchana kweupe before my eyes
Oyaaa utamua huyo jamaa kwa pressure๐๐๐Inaweza kua ni pangusa inakutesa kwa kua umesha tumia dawa jipe muda kuona maendeleo yake
Hakikisha unabadilisha boxer kwa siku hata mala 3 ilikuondoa bacteria wanao kua kwenye maji maji
Toa hofu kichwani hii itakusaidia usiguse guse uume wako (to heal the wound you must stop scratching it)
By the way vip Hali Yako unaendeleaje mkuu?
View attachment 2902851
Vip wewe ulitoboa kuna thread ๐งต yako moja uliyatimba:-!๐Oyaaa utamua huyo jamaa kwa pressure๐๐๐